Angalieni madudu haya ya TBC leo asubui...!

Angalieni madudu haya ya TBC leo asubui...!

ndugu wana JF na watanzania wote kwa ujumla leo asubui katika mapitio ya magazeti mtangazaji wa tbc radio alikuwa akisoma vichwa vya habari vya magazeti na alisoma baadhi ya heading nyingi na akafika kwenye habari iliyokuwa inamzungumzia mch.msigwa..na akaanza kuisoma mch.msigwa amwaambia........., ikaishia hapo hapo nilipoweka nukta hizo na hakuendelea kumalizia habari hio na akaendelea na habari zingine...na bila shaka ilikuwa ni habari ya msigwa kumwambia kinana aende mahakamani..
ndugu nina uliza ni nini maana ya mwandishi huyu kutiomalizia habari hiyo..?
na hili si linathibitisha kuwa tbc si chombo tena cha habari cha wananchi..nani chombo cha chama na serikali yake..?
hebu nisaidieni zaidi maana yake nini hii,,,?

wewe unasumbuka na wandishi wa tbc, mwandishi muungwana kidogo hapo ni Malini na Muro kipindi kile, wengine ni vilaza, kama kuna jamaa mmoja anapenda kuvaa suti nikimkumbuka jina ntawawekea hapa yeye ndo hamnazo kabisa. kuangalia tbc ni janga!
 
Pole sana kwa kusikiliza hiyo radio. Ona wachangiaji wanavyokushangaa, hiyo ilishapoteza authenticity zamani we bado upo tu
Tumsamehe mkuu, huyo alikuwa anatania tu, pengine hata kufuatilia hizo frequency zao hafuatilii.
 
Kuna technique ambayo imetumiwa na TBC kujikusanyia watazamaji wengi kutokana na serikali kulazimisha watu wahamie digitali, na TBC pekee ndiyo ikawa na ving'amuzi vya star times, ambavyo wanaonyesha TBC tu. Kuna wakati walianza kuonyesha ITV wakaipiga chini. Kwahiyo mwisho wa siku tunabaki na TV moja tu ambayo ni TBC. Sasa kama una king'amuzi cha Star times unakuwa huna option nyingine. Ni wakati sasa wa ITV, na TV nyingine kuungana na kuwa na king'amuzi chao tofauti na kile cha TBC.

sio kweli mbona mi startimes naangalia itv, startv, ch10 na eatv. Tena bila kulipia! Hiko kinachoonesha tbc peke yake kipi? Lukolo
 
Last edited by a moderator:
Hata mimi nilisikia walivyokatiza hiyo habari leo asubuh sikupata jibu kwa kweli.
 
yan wewe mpaka sahz unatuliza akili yako kuangalia tbc
 
watu wengine bwana huko tbccm mnafuata nini? huko kumejaa majungu na uongo mtupu.
 
sio kweli mbona mi startimes naangalia itv, startv, ch10 na eatv. Tena bila kulipia! Hiko kinachoonesha tbc peke yake kipi? Lukolo
Eeeh, labda wameboresha sasa hivi. Sijaangalia TV muda mrefu kidogo. Lakini kwa muda mrefu TV niliyokuwa naweza kuona kupitia star times ilikuwa ni channel ten, ambayo na yenyewe ilikuwa inaonekana siku moja moja, TBC, clouds TV, na ile ya miziki miziki, na mlimani tv, ambayo nayo ilikuja kupotea baadaye. TV zilizokuwa zinaonyesha vizuri ni hizi za nje, hasa za katuni, huku za ndani zikiwa na scratch za kufa mtu, except TBC. Sasa kama wewe huko kwako unaziona hizi zote vizuri basi nipe siri ya mafanikio.
 
uliamua kujichosha mwenyewe kuangalia tbc sikunyingine uwe unaingia jf utapata habari nzuri na kukulidhisha
 
Watangazaji wa TBC Wako kama nguruwe kila anafukuziwa anakwenda.
 
Kuendelea kuishambulia TBC kila mara ni uthibitisho tosha kwamba ina watazamaji/wasikilizaji wengi, na hawataiacha TBC. Hivyo kuwashauri watu waache kupata habari kutoka TBC ni sawa na kumpigia mbuzi gitaa ili acheze. Si suluhisho. La kufanya ni kuendelea kupigania uboreshaji wake ili ikidhi matarajio ya umma wa Tanzania.

pmmwasokye linakera bana, nao wasikie basi malalamiko.
 
Eheeee kumbe hyo channel ipo bora nizime tv kuliko kuangalia habari nusunusu
 
just like others have told you earlier that there is no new from da channel you are wasting your time watching more than play a game of catching stones, they are pupetts of the so called magamba bro! :embarassed2:
 
Back
Top Bottom