Recent content by kijukuu kindo

  1. K

    Niliyoyafanya tangu niwe Mbunge-Shukrani kwa WanaJF

    Dada Regia wewe ni jembe la ukweli. HONGERA SANA KWA ULOTEKELEZA, natumaini mwaka huu utatekeleza mengi zaidi. Tupo bega kwa bega hadi kieleweke 2012. Mungu akupe nguvu na hekima zaidi uwatumikie wananchi wako kikamilifu. Nilikuona mara ya kwanza mlipokuja Mzumbe na kina Dr wa ukweli...
  2. K

    Jk ungelijua watanzania wanavokutabiria ungekata tamaa

    Hayo mbona yanasemwa kila mahali na kila mtu mkuu? Hakuna jipya hapo. Huyu bwn amekua msaníi sana,hakuna maisha bora aliyoahidi bali sasa imekua bora maisha. Ahadi kibaaaaoo zakuombea kura, baada ya hapo anajichimbia. Uchumi unaopaa hatuuoni. Ufisadi/mafisadi ndo kabisa usiseme...
  3. K

    Mpenzi wangu aombwa rushwa ya ngono ili apate kazi.

    Ushauri mwingne kama wa nguvu za giza!
  4. K

    Mpenzi wangu aombwa rushwa ya ngono ili apate kazi.

    Lizzy bwana, siuseme tu? Alitaka kusema angetoa endapo labda tu kama aliyemuomba ni Kongosho. Lol
  5. K

    Wanaume wote wa JF someni hii,mmoja wenu ndo kafanya haya

    Kwa kweli majibu hayo kwa mtu yeyote si mazuri, sembuse mke? Kama wengi walivyosema wanako kaugomvi flani kt yao, tungepata maelezo ya upande wa pili tungeona pia mapungufu ya huyo mke wake. Mi naona haiwezikuwa kategwa kama mchangiaji alivyosema hapo juu kwa vile mtoa thread katuhakikishia kuwa...
  6. K

    Nashindwa nimuanzeje

    Teh teh teh teh! Fowardline mbovu? Cant help laughing. Nimeipenda. Final third department is not clinical. Ndo yale yale mbwa mzee asofunzwa mbinu za kuwinda. Daah! 3rd yr? Unatuangusha wanaume. Chuo gani upo?
  7. K

    Dada ya Rafiki yangu ananitesa nifanyeje?

    Biblia yasema mtu akikushauri kutenda dhambi, usimsikilize, mdharau kabisa.
  8. K

    Waraka wa Pili wa Mbunge kwa Wananchi wa Jimbo la Ubungo na watanzania

    Mh. Mnyika big up kwa sana. Bado tunaomba ufuatilie suala la kibosile wa dawasco kujiunganishia maji kata ya Mbezi Lois mtaa wa Makabe baada ya kufanikiwa kuuzima mradi wa maji uliokuwa unatekelezwa na wachina, na kwa sasa amekua suplier mkubwa wa maji eneo hili kwa bei ya tsh 200 kwa ndoo...
  9. K

    Looking 4 friends

    Jibu lako limetuliaaaa! Cheerz!
  10. K

    Huyu mrembo vipiiii, mambo gani haya...

    Dr. Chichi, nadhani asimdanganye huyo mrembo.Kama keshampenda achukue jumla aweke ndani awe anajilia 'indoor'. Tatizo hapa dem keshatoa tunda hana ujanja tena, alipaswa kuleta hoja yake hyo kabla hajakubali kuonjesha asali yake. Mzee nakushauri wewe usitishwe na swali, kama umependa weka...
  11. K

    I'm just thinking loud..!!

    Mie nimependa tu hilo jina, manake hapa kwangu nina 'kite' pia, sasa nikiwaza na kuwazua sipati picha. Viva iteitei
  12. K

    Hawa wanamuunga mkono Lowassa ktk CCM. Nani mwingine unamjua?

    Hapa umeniacha ndugu, naomba kueleweshwa vipi huyu mhe awe msosi wa kihindi? Ina maana wahindi wanamtafuna au? Plse nijuzeni wadau
  13. K

    Mbunge CCM akerwa na Kikwete kuwapa ulaji rafiki zake

    tusiwe wavivu wa kufikiri. Hizi dini zipo siku zote tangu enzi za mwinyi?, kwani enzi za mzee ruksa yalikuwepo? Ama naye alikua mkristo? Tuwe wakweli, uongozi wa bwm na jmk ni vitu tofauti sana. Japo bwm naye hakuwa mkamilifu ila huyu amezidi kuharibu by far. Call a spade a spade bwn
  14. K

    RAIA MWEMA: Bastola ya kigogo UVCCM yatoboa tumbo mwanafunzi wa CBE

    Hivi maelezo yako yanajustify dereva kutumia bastola na kujeruhi watu? Halafu unahoji eti dereva ana kosa gani? Wewe kumbe bure kabisa! Wanaokutegemea unawashauri nini?Mijitu mingine hovyo!!.
Back
Top Bottom