Hawa wanamuunga mkono Lowassa ktk CCM. Nani mwingine unamjua?

Kwanini mnapenda kumfuata fuata lowasa, inamaana ninyi ni wasafi sana . Kwa taarifa yenu mbele za mungu anayeto rushwa ya shs. 1,000 na anayechukua rushwa ya tshs. 1,000 hana tofauti na anayechukua mabilioni ya fedha wote wamekosa. Lowasa kama unania ya kukombea uraisi hiyo ni haki yako.
 
Kuna siku moja nilikuwa nimelala Chumba cha juu pale Dod6a Hotel, Chumba cha chini yangu kulikuwa na Mwenyekiti wa Chama kimoja maarufu sana cha Upinzani wanakunywa pombe na Chenge na Lowassa now I see the picture very clear!
Mzee siasa sio uadui, uadui uko kwenye sera na utekelezaji wake ndivyo wanamageuzi wanavyoamini
 
Katika harakati zake za kujinasua katikaa kufukuzwa uanachama wa CCM na vikao vya chama, EL ana watu ambao wapo tayari kufa nae.

Hawa ni:

Mbunge wa Kigoma Mjini mhe. Peter Serukamba,
Januari Makamba,
Karamagi Nazir,
Sofia Simba,
Kusila (m/kiti wa CCM Dom),
John Guninita (m/kiti Dar)

Ongeza orodha, wewe unamjua nani???

Nawasilisha

Na lowassa angekua basha hao jamaa wangekua tayari kumuwajibikia hasa huyo wa kigoma huyo,mtoto hasikii kuhusu lowassa huyo hata umwambie nini...
 
Kama lowassa atasimama na kutoa firm decision kwenye suala la uchumi, bora lowassa. Kama lowassa atasaidia vijana ajira iongezeke na hela za shule, bora lowassa.kama lowassa anatambua bomb linalotegemea kulipuka, na kulitatua bora lowassa. Kama lowassa hata simama na kucheka, na kutusaidia kwenye hili janga, then bora lowassa.
 
Na kama Dr.slaa je???
 
EL anaungwa mkono na watu wengi mno. Wee angalia hw he moves people when he speaks, kwa kweli wen it matters and making tough decisions ndugu yangu hujitolea.. Nilikua shinyanga, nikamkuta akielekea mwanza, watu walikua wengi mno wakimpokea, akawa anakataa misafara isilete picha mbaya. Kama ni impact na advantage EL aliyonayo, ni hayo aliyoyatenda kwa wananchi wengi sana.
Mkuu nadhani hao jamaa wa shinyanga wanamkumbuka EL kwa ushujaa wake wa kuwapelekea maji toka ziwa Victoria pamoja na vitisho toka Misri lakini EL alienda Misri na kusema serikali inafanya uamuzi [mgumu] wa kupeleka maji shinyanga na kahama. Mtu wa shinyanga akikumbuka bwawa la Ning'wa wakati huo na upatikanaji wa maji siku hizi basi hana budi kumuenzi EL.
 
Wakuu Philemon na Pasco, mbona mnajivua nguo hadharani? DUH!
Mkuu W.J. Malechela, bora kusimama uch... hadharani lakini kwenye kweli kuliko kuvaa nguo kwenye ubatili.

Its not about EL, its about TZ, ile team ya Boys II Men ilipokuwa intact, kumbe the success lied upon EL, iliposambaratika matokeo ndio haya!.

Kwa vile kuna watu mnaanini kila mtetezi wa EL amelipwa, they are wrong!.

Kitakachomzuia EL asiwe mgombea wa CCM ni afya yake tuu, nothing else!. No one else!.
 
Mkuu nadhani hao jamaa wa shinyanga wanamkumbuka EL kwa ushujaa wake wa kuwapelekea maji toka ziwa Victoria pamoja na vitisho toka Misri lakini EL alienda Misri na kusema serikali inafanya uamuzi [mgumu] wa kupeleka maji shinyanga na kahama. Mtu wa shinyanga akikumbuka bwawa la Ning'wa wakati huo na upatikanaji wa maji siku hizi basi hana budi kumuenzi EL.

kama watu wanavyowakumbuka MRAMBA na YONA kwa kuifanya hazina inone kipindi cha big BEN Ikulu sio?
 
Kuna siku moja nilikuwa nimelala Chumba cha juu pale Dod6a Hotel, Chumba cha chini yangu kulikuwa na Mwenyekiti wa Chama kimoja maarufu sana cha Upinzani wanakunywa pombe na Chenge na Lowassa now I see the picture very clear!
Kama ni Dodoma Hotel, counter ni kijiwe cha Wabunge wa kabila fulani bila kujali tofauti zao kivyama. Hapo ni kijiweni tuu sio politics tactics!. Hata wakati vikao vya bunge vikiendelea, RA na mlamba miguu wake Seru wao bunge lao ndio pale garden!.
 
Mkuu W.J. Malechela, bora kusimama uch... hadharani lakini kwenye kweli kuliko kuvaa nguo kwenye ubatili.

Its not about EL, its about TZ, ile team ya Boys II Men ilipokuwa intact, kumbe the success lied upon EL, iliposambaratika matokeo ndio haya!.

Kwa vile kuna watu mnaanini kila mtetezi wa EL amelipwa, they are wrong!.

Kitakachomzuia EL asiwe mgombea wa CCM ni afya yake tuu, nothing else!. No one else!.

Kak unavyoongea kama vile bado tupo pre-2005 era ya mambo yote ipo CCM. CCM wakitaka uchaguzi ujao uwe kama ule wa ZNZ kabla ya mwaka jana na walazimike kutumia wanajeshi kulazimisha ushindi basi wafanye kosa hilo...

Ofcourse itategemea pia kama kina Mbowe wataendelea kuheshimu zile MoUs....Which is possible ukitilia maanani mambo ya dossier yalimndondocha Mzee Ben 2005
 
jamani hebu turuhusu wachangie wenye uelewa manake wanachangia wengi halafu walichoandika ni guessing alieweka hoja aliweka sio ya kuhisi kaandika hawa sio nahc hawa

kwanza sasa hv ccm imegawanyika makundi matatu kuna kundi ka Jk,El na kundi la Sitta na haya makundi yote hayapatani sasa kama mkisema mpaka Jk ndo anampitisha huo uongo na ili lowassa awe rais mpambano ni next year kwenye nani mwenyekiti wa magamba,ccm anaekuwa mwenyekiti ndio a takae gombea so hapo ndo jibu liko hapo nani atakuwa mgombea 2015

kwenye hy list naona hadi wa chadema nccr jamani tuelewe hoja kabla ya kuchangia mm majina ya wanaomuunga mkono sina ila nimechoka kuona watu wanavuruga tu.tusiwe great tikers tuweni great thinkers
 
Kuna siku moja nilikuwa nimelala Chumba cha juu pale Dod6a Hotel, Chumba cha chini yangu kulikuwa na Mwenyekiti wa Chama kimoja maarufu sana cha Upinzani wanakunywa pombe na Chenge na Lowassa now I see the picture very clear!

sijajajua ni nani , ila ukweli ndio huo, nimemuona Mbowe mara nyingi sana na EL kwenye lunch time, hoteli fulani maeneo ya hazina.
 
Mi nawajua wa Upinzani
Mh Mbowe
Mh Zitto Kabwe
aliyekuwa mh Kafulila
Mh Hamad Rashid
Mh Shibuda
 
Pasco Lowassa ana madhambi mengi sana na hasa siasa za visasi, watu wake wa karibu wengi ni marafiki wangu wa karibu nawajua sana na ninajua sana all his games ana tatizo kubwa sana kushindwa kumnunua Makongoro.

- Halafu kilichompunguzia kura JK ni hoja ya Ufisadi, CCM leo ina unafuu kwenye kukubalika cause ilimvua Rostam, ni CCM collectivelly as Chama ilisema Lowassa hafai sasa itatumia uchawi gani kumnadi Lowassa tena kwa wananchi? Pasco CCJ Isingekufa kama waanzilishi wake wasingeahidiwa Lowassa kutopewa nafasi na bado inaweza kurudi na kuivunja CCM.

- I mean Lowasa hawezi toka CCM, na hakuna Upinzani wanaomtaka, lakini wasiomtaka ndani ya CCM ni wengi pia na wanakubalika na Wananchi sana, kwamba Lowasa ana record ya Uongozi sijui ni ipi wakati Richmonduli ni tatizo lake? I mean mnaotetea lioneeni huruma hili taifa japo kidogo, hawa watu walikuwa wanachota USD 150,000 a day bila umeme na wala huruma kwa taifa! HOW CAN SOMEBODY IN HIS RIGHT MIND SUPPORT HIM I DONT GET IT!
 
Back
Top Bottom