Intervention kwenye kilimo inahitaji kujitoa mhanga kweli kweli. Don't count a failure to mark the end of your trials. Ngoja niwape uzoefu kidogo :
July last year brought through my mind an idea of going back home and get back my hoe I threw some years ago when I began traversing through the...
Wapuuzi sana hawa wanawake. Ukionyesha nia ya dhati kwamba u muoaji atakuzungusha weeee eti mara ufike kwa wazazi kwanza, mara hakuna mapenzi mpaka ndoa kwanza!! Ukifuatilia vizuri unagundui kuna watu wanakula tu.
Vipi umstahi mtu wa namna huyu!!!
Kwa hiyo hii teknolojia ni fake? Mkuu kama ulibahatika kuhuzuria maonyesho ya nanenane nadhani uliona baadhi ya mabanda ya halmashauri mbalimbali yalikuwa yanatoa elimu kuhusu teknolojia hii.
Dah!! ndg yangu yaani majanga. Sasa hawa watalaam walikuwa wananadi upuuzi au nao hata hawajawahi kufanya. Halmashauri zetu kweli zina mazezeta tu. Najuta kwa kweli...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.