Kumvua mwanamke na kumwacha sio ustaarabu

Kumvua mwanamke na kumwacha sio ustaarabu

Yeah nakubaliana na mtoa mada lakini na wadada tuna matatizo ukishafanyiwa hivyo jifunze no sex till ur sure that you are in a committed relationship huo woga was et ooh nisipompa atanuacha atafata mwingine wangapi ulowatolea nguo na wamekuachia maumivu makubwa?tafakari na uchukue hatua.
 
Interejensia yangu inaniambia kuwa mtoa mada kuna mdada humu JF anammendea....kwa hiyo yupo kwenye harakati za kujisafisha na kujiandalia mazingira.......kila la kheri mkuu....MORE PRACTICE MAKE IT PERFECT.....
 
sasa wanawake walivyo wengi hivi unategemea nn kufunuliwa kwanza no muhimu

Aidha, huenda nilipofunua sikupata nilichotegemea. Hebu fikiria wakati mwanamke anafanyiwa maandalzi, yeye kuweka mikono kwenye papuchi akiwa ameificha, ukitoa mkono anarudisha utarudi tena hapo kufanya nini.
 
Mmmmh! sio kila mahusiano mwisho wake ni ndoa... mengine ni tuition tu kuelekea ndoanii... Acheni bhana Mungu aitwe Mungu maana angezifanya hizi vitu ziweke records ya kilomita iliyokimbia na kuzama aaaah ingekuwa patashka nguo kuchanika but kaweka ilivyo... tuibarikie na si kuilaani na kuilaumu...
 
chakula chochote kipikwacho lazima kionjwe ili kujua ubora wake
 
kutongoza mwaka????demu gani huyo...
 
Kwan wewe huwa huvui nguo?me nafikir labda ijadiliwe sababu za kwa nini unakubali kuachika
 
Wapuuzi sana hawa wanawake. Ukionyesha nia ya dhati kwamba u muoaji atakuzungusha weeee eti mara ufike kwa wazazi kwanza, mara hakuna mapenzi mpaka ndoa kwanza!! Ukifuatilia vizuri unagundui kuna watu wanakula tu.
Vipi umstahi mtu wa namna huyu!!!
 
Back
Top Bottom