Intervention kwenye kilimo inahitaji kujitoa mhanga kweli kweli. Don't count a failure to mark the end of your trials. Ngoja niwape uzoefu kidogo :
July last year brought through my mind an idea of going back home and get back my hoe I threw some years ago when I began traversing through the road to the fruits of Tanzanian the Education system.
As much as you know how long it takes to make it, but God managed and I was at last a bachelor's degree holder in a very respectful carrier the year 2011.
There came there after a work of having employed, in the meanwhile which I came to regret my time lost through education. Ajira zilipatikana lakini too tuff to bear with very little wage. I did it for atmost 2 and a half years to July Last year when I vowed to go back home in desperate.
Kule nyumbani Kuna shamba very close to Lake Shore ambako nilikwenda kumwaga whatever savings I made. Nilifanya kama majaribio ya namna ningefanya kazi kwa kununua pipe za kuchukulia maji toka ziwani kwenda shambani kwa msaada wa gasoline engine water pump 3" ambayo niliazimwa na jirani aliyewahi kuitumia kwa matumizi yaleyale.
The project begun overwhelmed with some sorts of shortcomings ikiwemo ubovu wa mashine ambayo iriharibika mara kwa mara na kufanya zoezi lisimame kufanya repair.
Nilifanikiwa kuandaa eneo la vipimo mita 72.5 kwa mita 122.5 ambalo nilipanda mbegu za mahindi aina gani ile (nasahau) ila alama ya tumbili. Lengo lilikuwa niuze mabichi kwa wachomaji something that promised greatly.
Niliyahudumia kwa palizi na kuwekea mbolea ya urea. Nilibahatika kusave gharama za umwagiliaji kwani mvua ziliendelea kwa mtiririko mzuri ktk miezi ya Sept, Oct, Nov through to Dec.
In the midst I was fortunate to secure a job in public service and left my intervention flourishing under care of my family members. Wakati wote nimekuwa ofisini masikio yangu shambani kwangu kusikilizia maendeleo na wakati wote habari zilikuwa njema kuwa nimelamba dume.
Soko lilikosekana kuuza mahindi mabichi maana kilifuatia kipindi cha mvua ambapo wengi walifanikiwa kuivisha. Nikasema no matter wacha yakauke familia ipate stock haijawahi ipata na no more hunger at home. Back in time familia yetu haikuwahi kuingiza nyumbani gunia zaidi ya tatu km mavuno ya msimu mzima wa kilimo. Nikasema this year Mungu ameonyesha njia kwani wameshuhudia nikiwaengage kwenye kilimo cha kisasa kwa kucultivate small and reap big.
Kwa eneo nililolima na kwa interval ya upandaji I was able to calculate the dry harvest nikiinclude na too much unforeseen losses I expected the worst scenario to bring me not less than 30 sacs of maize.
Mahindi yakakauka bhana, uvunaji ukaanza me anxiously waiting to celebrate the never ever happened harvest results.
Ooooops!!!!!!!!!!!!!!!
Bado sijaamini wazazi kwa wanachonisimulia, even though still themselves are happy with the quantity they have earned, jamani!!!
Yaani naambulia magunia 16 pekee kweli........
Hicho ndicho kilimo bwana, kina matokeo mbali kabisa na simulizi za wataalam.
Hata hivyo sijakata tamaa ndugu zangu. My main interest remain in developing that farm into an irrigation field kwani ndiyo mbinu pekee ya kubakiza matumaini kwa familia kujipatia chakula hata katika nyakati za ukame. Lakini pia kufanya kilimo nyakati za kiangazi kipindi ambacho they only enjoy their leisure while having nothing to depend on for their living.
Mwezi huu huu nawarudisha shambani nikiwapa support za kifedha.
Nimemwaga mbegu za vitunguu ambazo zipo vitaluni, nafanya hivi kuwafanya wapractice na kujifunza changamoto zinazoambatana na zoezi before I pour a lot of capital to build the necessary infrastructure km raised water storage facility, water pump and associated reticulation facilities.
In the long run natarajia kujikita kwenye kilimo cha mapassion (the green gold).
No retreat no surrender, God bless.