Recent content by Kijiji cha Wajinga

  1. Kijiji cha Wajinga

    Hivi nifenyeje ili nipate mood ya kusoma kwa bidii?

    Ngoja wanakuja kukupa muongozo wadau.
  2. Kijiji cha Wajinga

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Hakika. jamaa alikuwa na uvumilivu sana. Kila siku alikuwa akiwapongeza wenzake huku akisubili zamu yake. Ni miongoni mwa watu waliodumu na huu uzi kwa mda mrefu.
  3. Kijiji cha Wajinga

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Huyu kijana anayejiita Mfwende Sawadogo ni miongoni mwa vijana wa Mfano na wakuigwa. Kijana hajawahi kuwaonea wenzie wivu wala hajawahi kuwawekea wenzake kinyongo juu ya Placement. Yeye kila siku alikuwa anaamini siku yake itafika na hatimae imefika. Nimekuwa nikimfatilia kimya kimya sana hadi...
  4. Kijiji cha Wajinga

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Kila mtu ana mawazo yake juu ya jambo fulani. Mawazo yako tunayaheshimu.
  5. Kijiji cha Wajinga

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Mimi kupata INTERN nilipitiaTAESA . Nilifanya Interview nikapangiwa INTERN pale TRA, nikakomaa kwa miaka miwili. Mkataba ulipoisha tukaondolewa wakapatiwa vijana wengine nafasi ya INTERN. Ilikuwa mwaka 2020 hadi 2022. Ni utaratibu mzuri sana ambao unawapa vijana kuongeza CV yao.
  6. Kijiji cha Wajinga

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Kuna watu naona wanalalamikia watu wengine kujitolea. Watu kujitolea sio kwamba wanapenda bali hali ya maisha inapelekea mtu kuamua kujitolea, Just imagine mtu kaomba kazi privates zaidi ya 80 anakosa, anaamua kuomba kazi Serikalini anakosa, wakati huo huo anahitaji kujitimizia mahitaji yake...
  7. Kijiji cha Wajinga

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Shukran sana kiongozi, nimekuelewa vizuri sana. Unatupatia elimu ambayo itakuwa na manufaa huko mbeleni tukibahatika kuingia kwenye government. Now tunapambana na private huku.
  8. Kijiji cha Wajinga

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Acha roho ya kichawi kiongozi. Kupitia huu uzi tunajifunza vingi sana. Mbingunikwetu anatupa nondo nzuri hata kesho tukiajiliwa serikalin tunakuwa tushajua hata pakuanzia.
  9. Kijiji cha Wajinga

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Shukrani kwa kuzidi kutupatia nondo kiongozi. Hivi tofauti ya D1 na D12 ni nini? Yani naomba utufafanulie ili tuweze kuelewa zaidi.
  10. Kijiji cha Wajinga

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Habari, hivi kuna mtu yoyote humu anamfahamu mtu aliyepangiwa placement wizara ya maendeleo ya jamii, wanawake, jinsia na makundi maalum.
  11. Kijiji cha Wajinga

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Ndio lakini ni case chache sana zinatokea. Taarifa za vyeti huwa wanazituma baraza ili wahakiki kama ni vyeti halali. Ikitokea vyeti ni feki apo ndio mtu anaweza kukosa kazi hata kama placement imetoka utumishi.
  12. Kijiji cha Wajinga

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Watakupigia tu usiwaze. Wengine mchakato huwa unatumia miezi mitatu.
  13. Kijiji cha Wajinga

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Halmashaurini ni fasta tu. My friend alienda halmashauri ndani ya wiki mbili tu akapigiwa simu akasain mkataba wa kazi rasmi
Back
Top Bottom