Recent content by Kijana wa mkono

  1. Kijana wa mkono

    AJALI: Daladala lagongana na Lori la kubebea Ng'ombe

    Kwa kweli, hizi ajali katika miji yetu zinatokana na Tanzania Kutokuwa na VIWANGO katika ujenzi wa barabara zetu. Sishangai kuona licha ya kuwa na viwango katika materials zinazotumika katika ujenzi wa barabara zetu, bado hatuna specific proper design ya barabara zetu, kama Mitaro, Service...
  2. Kijana wa mkono

    Nape Nnauye ahojiwa na TAKUKURU kwa masaa 5

    Tunaomba sources za taarifa hii.
  3. Kijana wa mkono

    Nape Nnauye ahojiwa na TAKUKURU kwa masaa 5

    How reliable is this information....
  4. Kijana wa mkono

    Kikao cha Kamati Kuu CHADEMA, Edward Lowassa ndani

    Nadhani Huu ndio mwanzao wa mabadiliko ya kisiasa nchini Tanzania. Tulitarajia kuona wanachama wengi waliooona serikali tawala ikifumbia macho ufisadi na utendaji mmbovu wa watendaji wake, wakihama vyama na kwenda amabapo wanaweza wakatoa sauti zao kwa uhakika na usalama zaidi, ila bado...
  5. Kijana wa mkono

    Sitaki kuamini hili, nisaidieni

    Hello Michael Ngusa, Nitafute kea email hii hapa: aristarik@gmail.com, ama call me via 0754 315 978 Send me your documents!!
  6. Kijana wa mkono

    Rasimu ya II ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Ngoja tujijuzee, then wakati watu wanoatoa hoja, tufanye unyambulisho yakinifu. Prof. Asante kwa kuiweka hapa, sasa ni kazi kwetu. Natoa wito wanajamii tuisome, tuipitie kipengele kwa kipengele, ili tujue tunavyoongozwa, na miiko ya uongozi, pamoja na haki zetu. Cha msingi siyo kuipinga, bali ni...
  7. Kijana wa mkono

    Revealed: Who got paid the Sh201bn escrow cash

    Kweli watanzania tumepoteaa,,,na tunazidi kupotezwaaa... Natoa wito wa wananchi tuisome kwa undani katiba mpya ili tujue tunavyoongzwa na kujua haki zetu.
  8. Kijana wa mkono

    Russia Shows off Military Might at Victory Day Parade in Moscow

    Nimeipenda hiyo... Uzalendo mbele... Ukakamavu wa kutosha... Technolojia ya hali ya juu.. Tz sijui tuko wapi... Tutafika tuu
  9. Kijana wa mkono

    Rais Kikwete achagua Mabalozi wapya watatu (3)

    Sokoine...mila na destur zmezingatiwa
  10. Kijana wa mkono

    Nishaurini jamani, nikitongoza sikosi!

    That is an evil spirit...Kaombewe... Na ujiombee pia.
  11. Kijana wa mkono

    Salama ya CDM, Mbowe, Slaa na Zitto wote wapumzike

    CDM mna deficiency ya viongozi...fanyeni recruitments...mapate wasomi...
  12. Kijana wa mkono

    Waraka uliowaondoa Zitto Kabwe na Kitila Mkumbo CHADEMA huu hapa

    Men!!! I read waraka wote apo juu, nadhani tha analysis ni sahihi, and we have ever advice you pple on those matters. Ila nadhani this shows the maturity thou na ujinga nadani ya chama. Kuongoza taasisi kama hii kuanahitaji wasomi na wenye vipaji vya uongozi either walozaliwa navyo au walosomea...
  13. Kijana wa mkono

    Said Arfi - Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA ajiuzulu rasmi!

    Mbona CCM viongozi wanakuaga na makundi lakin hawajiuzulu!??? Afu kama ulikua makamu mwenyekiti mwenye busara usingeandika majungu kwa hiyo barua ya kujiuzulu, au c ungejiuzulu siku nyingi kitambo,,hadi Zito apigwe chini ndo unajidai unajiuzulu??? ss unahamia wapi. MM sipendi viongozi wanafki...
  14. Kijana wa mkono

    Uganda yaishutumu Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete juu ya EAC

    Opondo should speak sense... I cant imagine such a fake comments...from a senior public servant....
  15. Kijana wa mkono

    Kiongozi wa Msafara wa Rais akutwa na zaidi ya kilo 297 za dawa za kulevya

    Mimi nahis hata kwa hizi escot zetu zenyewe haziguswagi huwa zinaoperate the same aisee... Yaani, ndo maana waskaji wako above the law akianani.. Haya bhanaa
Back
Top Bottom