Revealed: Who got paid the Sh201bn escrow cash

Revealed: Who got paid the Sh201bn escrow cash

Imefikia muda serikali kuchukua hatua kwa kila atakaekiwa anaandika uongo na kusema uongo. Katika nchi za wenzetu ni kosa la jinai kusema uongo. Serikali ikiendelea kuachia haya mambo ya kusema/kuandika uongo ni wazi Tanzania tunaelekea kubaya. Mbona mnasema simu zimesajiliwa anzeni na yule atakaepatikana na msg funga miaka atamtaja aliemtumia msg. Angalia baadhi ya watu wanatoa matamko za uongo wakati wala sio wanachama wa vyama husika. Wanaalika vyombo vya habari na kutangaza maneno ya uongo baadae vyama vinakanusha lakini wale waliosema uongo wanaachiwa pasipo kufunguliwa mashtaka. Tunawafundisha nini vizazi vyetu, ndio mana nchi yetu inakuwa na watu waongo waongo tu kwasababu hakuna anaejali au kuogopa kusema uongo. NI WAKATI WA SERIKALI KUCHUKUA HATUA KWA KILA ASEMAE UONGO NA KUTUMA MSG. KILA MTANZANIA MNASEMA AMESAJILI SIMU YAKE. KAMATA FUNGA MAISHA UONGO UTAISHA NA NCHI KUBAKI NA HESHIMA YAKE. IKIBIDI IONGEZWE KWENYE KATIBA
 
Imefikia muda serikali kuchukua hatua kwa kila atakaepatikana anaandika uongo na kusema uongo. Katika nchi za wenzetu ni kosa la jinai kusema uongo. Serikali ikiendelea kuachia haya mambo ya kusema/kuandika uongo ni wazi Tanzania tunaelekea kubaya. Mbona mnasema simu zimesajiliwa anzeni na yule atakaepatikana na msg funga miaka atamtaja aliemtumia msg. Angalia baadhi ya watu wanatoa matamko za uongo wakati wala sio wanachama wa vyama husika. Wanaalika vyombo vya habari na kutangaza maneno ya uongo baadae vyama vinakanusha lakini wale waliosema uongo wanaachiwa pasipo kufunguliwa mashtaka. Tunawafundisha vizazi vyetu nn, ndio mana nchi yetu inakuwa na watu waongo waongo tu kwasababu hakuna anaejali au kuogopa kusema uongo. Ni WAKATI WA SERIKALI KUCHUKUA HATUA KWA KILA ASEMAE UONGO NA KUTUMA MSG. KILA MTANZANIA MNASEMA AMESAJILI SIMU YAKE. KAMATA FUNGA MAISHA UONGO UTAISHA NA NCHI KUBAKI NA HESHIMA YAKE

Kama unaambiwa bajeti tu haipelekwi kunakotakiwa kwa kiasi kinachopitishwa na bunge sasa hapo si utafunga watu mpaka jengo lenyewe la bunge!!!!!
 
Tatizo kuna watanzania wengine ni wapumbavu wa fikra,anajua jambo kama hilo lipo na anashindwa kuhoji viongozi wake au anashindwa kujudge kama kwel anastahili kuchaguliwa tena au lah ila haya mabilion yankua converted na kununua khanga na tshrts ambazo hazizid milioni afu tunaanza kuwasifia.
Pinda ndo nazidi kuona kua yeye ni mzugaji tu mana tokea lini mbwa akamchunguza mbwa mwenzake,teueni kamat hapo bungeni ndo ifanye kazi.Watanzania hatuna imani na Takukuru na CAG ndo mana vyote wanavochunguza wanaleta majibu ya kisela.ila kitaeleweka tu
 
Ni afadhali hata huyo CAG lakini hao takukuru ni kama uvccm tu
 
Bila shaka hapa kuna wizi wa dhahiri kabisa! iweje mtu mwenye 30% stake achukue 100%..??! hafu sisi tubebeshwe zigo la kuwalipa hao SCB..???! mwisho utasikia wameshinda kesi af si ndio tukamuliw mikapacity charge ya kimbwa ili tulipe...!!!! Shenz kabisa!!!
 
Kweli watanzania tumepoteaa,,,na tunazidi kupotezwaaa...

Natoa wito wa wananchi tuisome kwa undani katiba mpya ili tujue tunavyoongzwa na kujua haki zetu.
 
Escrow ni suala la kusubiri muda tu. Natabiri na nina imani itaondoka nma mtu kama ilivyokuwa kwa EPA na Richmond coz sauti za wanyonge na wavuja jasho kamwe hazipiti kama upepo bali Mungu huzipa na kitu cha kusindikiza.
 
Back
Top Bottom