Zitto kwa kutumia njia za siri ameikosea CDM, lakini kilichoandikwa kwenye waraka pia kina ukweli juu ya udhaifu wa uongozi wa Mbowe na Dk.Slaa.
Hivyo ningepewa nafasi ya kufanya maamuzi kwa maslahi ya chama, ningewang'oa wote, Zitto na watu wake kwa upande mmoja na Mbowe&Dk. Slaa.