Tatizo kubwa JK na Kiroboto hawajawhi kuwa watendaji wa serikali ili kubaini namna inavyoendeshwa kupitia Sheria, Kanuni na miongozo ya nyaraka.Wametoka kIsiasa tangu UVCCM ya wakati wao hadi sasa. Wamekuwa ni janga ktk kuongoza na kuendesha nchi na kuyumbisha mihimili yote ya utawala kwa...
zaidi ya hoja za TL. Je CCM na SMZ ni lini wataweza kukubali hoja ya win win situation ambayo inahitaji katiba mpya? Vinginevyo Tanzania visiwani daima wataendelea kutaka huruma ya vya bara vyetu na vya visiwani ni vyao. Kila siku watawaona watu jasiri kama TL, Dr n.k. ni hatari kwao na CCM...
Ndani ya CCM waadilifu wapo. Tunao na kila siku wanalalamika. Ukienda huko wilayani ndo utatambua wasivyoridhika. Kampeni za matumizi makubwa ya fedha sasa wamebaini ni Mtandao wa kifisadi unaonufaika ndo mana nao wanataka mjumbe wa HK atoke Wilayani. Lowasa kwa kutumia uPM alipanua mtandao wake...
Rais Kikwete alitumia jukwaa/mimbari ya Kanisa Katoliki kutamka maneno yake. Maaskofu wake hawakimjibu hadi mwezi huu. Kiimani hata kimaadili Kanisa limekwazika kama dhambi nyingine inayotafuna WTZ wote ya UFISADI hata kama hukushiriki.
Inaumiza, Mkuu wa Dini anachomwomba JK awe jasiri...
Vigogo wanasiasa wa muda mrefu tangu azimio la ZNZ wanawatumia akina "Kisena" wenye ushawishi wa kinajimu, ni protected risk takers ndiyo maana wanatamba. Ubepari halisi una nidhamu sana lakini si huu wa mtindo wa KI-EPA AU KI - UDA.
"Primitive accumulation" ya aina hii na kuwafanya WTZ ni...
Dhambi kubwa ya serikali ya CCM tangu uhuru hasa viongozi wake na wapambe wake kulikumbatia kundi la daraja la pili (uhindini) kwa mlango wa nyuma. Wao wapo kimkakati kibiashara. Wakati sisi wamatumbi tunaishi leo tu. Ndiyo maana CCM pamoja na nguvu zote kimamlaka viongozi wake wametumbukia...
CHADEMA ni mkombozi. Magamba wameathiriwa na dhuluma na ufisadi. Kila ovu lao umma unajulishwa kwa vitendo kupitia CHADEMA. Wtz wapenda haki bila unafiki, umalaya wa fikra na maisha ARUSHA inataka kusimama na AZIMIO LA ARUSHA 2011 badala AZIMIO LA ARUSHA 1967 ambalo Magamba wanaliogopa.
Magamba...
Wabunge wa DSM. Kwa hili la UDA angalau tunawapongeza lkn hatuwasifu sana mpaka tuone mwisho wake kama ya UBT. Tunahitaji kujua ukweli wa mradi wa Maji (DAWASCO) uliofadhiliwa na ADB maarufu Mradi wa Wachina wakati ni mkopo kwetu. Tupewe ukweli kwa nini ulikabidhiwa/haujakabidhiwa wakati maeneo...
Wtz msishangae. Maamuzi ya utatanishi ya CCM na Skl yake yanatokana JK haketi na BLM kwa maamuzi ya pamoja. Kila suala linapitishwa kwa hati ya dharura. Ndiyo sababu kila wizara inatamka kivyake, lobbying kama za kijairo na kingeleja. CC inajifanya kuishangaa Skl yake. Tusitarajie mabadiliko ya...
Wamebebana sasa watatuana na sijui watakaobaki. Kila wizara ni serikali. BLM halikutani kujadili masuala kitaifa kwa sababu JK yupo safarini. PM hana uamuzi, Hazina inapanga bajeti za wizara kwa vigezo vyao na JK. Serikali ilifanya mzaha sasa imeshikwa pabaya. Kila waziri kuropoka kivyake kama...
WanaJF hakika ukweli utabaki na utasimama milele. TL amewasilisha hoja makini ya dhuluma kwa wnch vijijini. Amby sasa ni mfumo wa kitaasis tangu skl za mitaa, kuu hadi Magamba. Wananchi wanaishi kwa hofu. Siku hizi madiwani ni dola, wakandarasi bdl ya uwakilishi. TL amefungua milango WJF na WHKT...
WM ajifunze kutoka kwa aliyekuwa WM wa Malaysia kwa kuwajengea uwezo na upendeleo maalum Wazawa. Ni uwekezaji gani unaotenga wazawa kwa kusingizia hatuna viwango? Kweli WM wtz hatuna viwango ili tuwape uhalali wageni? Majibu ya WM yanaonesha kukosa utumishi kwa wtz.Hatupo salama kwa mtindo huu.
CCM imekuwa ibilisi. Imechezea maisha na uhai wa WTZ kwa kiwango cha kupitiliza. Gamba hili ni zaidi ya sgluu kuweza kuling'oa. Inabidi ateketezwe na gamba lake haaminiki
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.