YUSUPH MANJI tumekukosea nini? Wewe ndiye adui yetu mkubwa Bongo

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,833
155,780
heka 12.5 kwa sh 20m kwa mwaka na mkataba wa miaka kibao na UDA.
Huyu Gabachori ni adui yetu mkubwa anahutujumi huku anatuchekea.
Tunazo kumbukumbu zako nyingi za mauziano ya maghala ya Ubungo na NSSF na uhuni mwingine mwingi.
Je watanzania tumekukosea nini hadi ututende yote haya.!???

Mibaba na viongozi wa CCM ni wazandiki na wananunuliwa kwa bei chee...., baba wa Yusuf Manji si alitimuliwa hapa nchini? Kwanini serikali haim muliki huyu gabachori?
Mtikila ni bora achukue nchi kuliko nchi mikononi mwa Sharobaro

heka 12.5 kwa sh 20m kwa mwaka na mkataba wa miaka kibao na UDA.
Huyu Gabachori ni adui yetu mkubwa anahutujumi huku anatuchekea.
Tunazo kumbukumbu zako nyingi za mauziano ya maghala ya Ubungo na NSSF na uhuni mwingine mwingi.
Je watanzania tumekukosea nini hadi ututende yote haya.!???

Mbona ni kodi nzuri sana kwa yadi hiyo, mie nna yadi ya eka 10 Kibaha, nikipata 5% ya hiyo ntafurahi sana, kwani imekaa bure hainiingizii hata senti tano kwa sasa.

A.cha ushabi.ki wew.e hapo hapo alipokodisha mangi simons group wamekodisha less than heka moja lakini wanalipia 200mils.....relax manji ni tapeli tuuuuu,sio uda ni sehemu nyingi tu...

mbona ni kodi nzuri sana kwa yadi hiyo, mie nna yadi ya eka 10 kibaha, nikipata 5% ya hiyo ntafurahi sana, kwani imekaa bure hainiingizii hata senti tano kwa sasa.

Mimi hapa sioni kama Manji ni tatizo, tatizo ni hao waliokubali kumpangisha/kukodisha kwa kiasi hicho kidogo! manji kama wafanyabiashara wengine wote anachojali yeye ni faida tu! kama unafikiri Manji ni tatizo kwanini watu kama Karamagi, Simba, mengi, RA, Mo usiwaone tatizo? maana wote hawa wanaibia nchi hii kwa mtindo kama huu wa Manji!

Mkuu, bora umenitangulia kusema ukweli, mi huwa niko against hizi approach ya kuzuia moshi badala ya kuzima moto- tatizo ni sisi tunaempa hizi oppportunities na assets, shurti apokee. Hivi ukimnyia mkataba atapata wapi?!
adui no. 1 ni serikali inayowalea hawa wahindi

siku zote nasema wahindi siyo.na ukiwasema vibaya painkiller uzi anautoa.kwanza hawashiriki shughuli za maendeleo,wanakwepa kodi,wanatulipa mishahara kiduchu bila hata marupurupu,hawatoi ajira wenyewe wanakomaa na vibarua tu,wanatudharau,hawajengi nyumba zao wakipata hela wanazipeleka kwao lakini utawakuta wamebanan kwenye nyumba za NHC.tutaona mwisho wao.mia

Mkuu, bora umenitangulia kusema ukweli, mi huwa niko against hizi approach ya kuzuia moshi badala ya kuzima moto- tatizo ni sisi tunaempa hizi oppportunities na assets, shurti apokee. Hivi ukimnyia mkataba atapata wapi?!

Ni kweli serikali ndo yakulaumiwa, serikali inajifanya zezeta haijui gharama halisi ya rasilimali zake na kuwapa wawekezaji/wafanyabiashara-wanyonyaji kwa bei chee simply because hawa wawekezaji-wanyonyaji ndo wafadhili wakubwa wa kampeni za kuingiza viongozi madarakani, so wanalipana fadhila.haina shida twendeni tu ila kuna siku tu moto utawaka

tatizo watanzania ni kuwa hatu pay attention hata na habari zikiripotiwa

iliripotiwa kuwa manji kawapanga foleni madiwani wote wa ccm anawapa pesa

wakati wa uchaguzi..

mwenye akili angejua nini kingefuata

Dhambi kubwa ya serikali ya CCM tangu uhuru hasa viongozi wake na wapambe wake kulikumbatia kundi la daraja la pili (uhindini) kwa mlango wa nyuma. Wao wapo kimkakati kibiashara. Wakati sisi wamatumbi tunaishi leo tu. Ndiyo maana CCM pamoja na nguvu zote kimamlaka viongozi wake wametumbukia kwenye kosa kutojitambua jinsi ya kubalance na aina tabaka hili. Hapakuwa na haja ya kutumia nguvu ya pesa kuingia madarakani kupitia mgongo wa tabaka hili kwa ahadi za biashara zinazoitesa nchi sasa wakati wao wana uraia 2. Tunajidhulumu tunaishia kufadhiliwa kiduchu Simba & Yanga. Sifa ya kuozwa mabinti za na madili ya kimagumashi. Tenda kubwa zote serikalini wamepewa wao ili kupata kamisheni endelevu. TUMEWACHEKEA NYANI SASA TUMEGUNDUA TUNAVUNA MABUA. EPA, TICS n. k. TAFAKARI

Mkuu, hii/hizi ni hoja mchanganyiko. Kuna ukweli katika baadhi ya points na nyingine si za kweli: muanzilishi /mastermind wa EPA ni JK (cum CCM) na TCTS ilikuwa/ inaendeshwa na kada wa CCm/ waziri so hapa hakuna uhindi. We reain our own enemies.

wananchi muzee! Yaan wewe na mimi kulingana na katiba ya jamhuri ibara ya 8 kama sikosei.

Hiyo biashara ya kusema Serikali ni mimi na wewe ilishapitwa na wakati.
Navyofahamu kuna "Serikali Kuu" na "Serikali za Mitaa", mimi na wewe tuko Serikali ipi katika hizi??
Asikudanganye mtu, Serikali ni Jamaa pele magogoni na watendaji wake

heka 12.5 kwa sh 20m kwa mwaka na mkataba wa miaka kibao na UDA.
Huyu Gabachori ni adui yetu mkubwa anahutujumi huku anatuchekea.
Tunazo kumbukumbu zako nyingi za mauziano ya maghala ya Ubungo na NSSF na uhuni mwingine mwingi.
Je watanzania tumekukosea nini hadi ututende yote haya.!???
Mkuu lete hizo kumbukumbu za Manji kuhujumu uchumi, muda ndo huu sasa.

Back
Top Bottom