Msaada ikiwa kwa bahati mbaya discard ya mtandao mmoja niliacha nao, nikitaka kujisajili na mtandao mwingine inawezekana? Au kwa urahisi zaidi unaweza kujisajili kwenye simcard zaidi ya moja.
Sina uhakika kama Serikali ya China iliahidi kutoa hela yote itakayogharamia ujenzi wa reli yote ya kati kutoka toka Dar mpaka Mwanza na kwingineko. Kama nilimuelewa vizuri, mheshimiwa Rais aliiomba serikali ya Uturuki kupitia benki yao ya Exim iikopeshe Serikali yetu kiasi cha fedha...
Kataa wewe usiwahamasishe watu wengine. Mitandao yote huombwa na polisi kwa barua maalumu kutoa taarifa yoyote ya mteja yeyote wakati wowote, hawana uwezo wa kukataa. Majmbazi wengi wanakamatwa kwa ushirikiano mzuri uliopo na jeshi la polisi kwa kuwafuatilia mawasiliano yao. Sasa kama voda...
Serikali iliyomakini huanzisha project zitakazodumu kwa kipindi cha miaka mingi ijayo, haina maana kujenga jengo kwa kufikiria uwezo uliopo wa kukusanya kodi, hapana tufikirie miaka ikibidi hata miamoja ijayo. Uwanja wa ndege wa Oliver Tambo wameujenga wakiwa na fikra kwamba hakutakuwa na foleni...
Zitto Kabwe ni rahisi sana kununuliwa, upo uwezekano ameshapewa chake na wapiga dili ili kuichafua serikali yetu tukufu ili ionekane haifai mbele ya jamii. Zamani watu kama hawa walikuwa hawana nafasi katika jamii hivyo hatua za haraka zilikuwa zinachukuliwa kukabiliana naye.
Mbona motto wa mkulima alitia nia ya kugombea urais bahati mbaya jina lake likakatwa kama ilivyo kwa el. Si kwamba ukwa waziri mkuu lazima uupate urais lazima upite kwenye mchujo.
Kuahirisha kwasababu upelelezi haujakamilika haina uhusiano na kwamba kesi haina ushahidi. Kumbuka kuwa kesi hii inaugumu Fulani ktk upelelezi wake, tuvute subira.
Waziri mkuu aliyepita aliwahi kutembelea Wilaya moja huko kusini, bahati mbaya waliondaa eneo la kufwahutubia wananchi lilikuwa limezungukwa na manyasi marefu kumzidi kimo cha mheshimiwa waziri mkuu. Baada ya kuzungumza na wananchi, alikaribisha maswali na malalamiko yoyote kama yapo kutoka kwa...
Kitendo cha Luwasa kudharau juhudi za serikali iliyopo madarakani ati kwanini inunue ndege kwa gharama kubwa wakati wananchi wa Tabora hawana maji, nadhani amekosa uwezo wa kufikiri. Utalii ndio unaoongoza kutuingizia fedha za kigeni, na wengi wao wanapitia Nairobi ndio waje kwetu wakiwa hoi...
Ukiisoma hati ya mashitaka utaona kuwa huyu bwana alikataa hata kushirikiana na polisi, tafusiri yake anadharau kwa vyombo vya dola. Sasa kama alikuwa hajui kuwa ipo serikali basi ni wakati wake kulijua hilo, ni nini hasa alikuwa anakificha m[paka akawa anawadindia polisi wasitekeleze majukumu...
Tayari taarifa yake ya uwepo wa zika Tanzania imeanza kuathiri biashara ya utalii. Serikali zenye kuwapenda wananchi wao zimetoa taadhari kubwa kuitembelea Tanzania ikiwemo Zanzibar. Nahisi huyu Dr. Malacela katumwa ili kuiharibia nchi yetu katika maswala ya biashara na mambo mengine mengi...
Watanzania tulizoea kufanya mambo bila kufuata sheria sasa umefika wakati tufuate sheria kwa kila jambo. Ukianzisha biashara fuata sharia, ukitaka kujenga zingatia sheria, ukitaka kuoa zingatia sharia n.k.
Sasa upinzani kwisha kabisa hakuna dili tena. Wapi watapata nyingine dili ya kuzungumza angalau wapate kiki. Jamaa analeta malori 600 kusomba makaa ya mawe na usambazaji wa saruji. Tunasubiri tena tudanganywe.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.