Picha nne ambazo ningependa Mh. Rais azione!

Wewe unajidanganya toka mjini hasa Dar ingia vijijini ambako chakula ndo hutokea kisha rudi kwenye GPS yako na Fanya utafiti wako huo fake.Majani kuota ni rahisi sana kuliko kustawisha mazao kwani drought resistance ya majani ni kubwa kuliko cereals.
Kuwa na akili hata kidogo ndg.
 
Kuhusu hizo picha za Google earth, si sahihi kutumia picha hizo kama uthibitisho wa hali ya uoto uliopo muda huu. Google earth huwa updated baada ya muda mrefu kupita kwaio yawezekana zikawa picha za zamani na zisiwasilishe hali ilivyo leo.
 
Kumekuwa na ubishani kuhusiana na hali ya njaa nchini na mengi yemeongelewa. Lakini ili kutatua ubishani huu na 'kumaliza' malumbano, ningeomba picha hizi zimfikie mheshimiwa Rais.

View attachment 458424 View attachment 458428 View attachment 458431 View attachment 458432

Assesment yangu ni hivi:

In general, sehemu kubwa kulingana na picha zilizopigwa na mtandao wa Google Earth zinaoesha kuwa zaidi ya asilimia sabini ya nchi iko katika hali ya ukijani.
Hiyo asilimia kama thelathini iliyobakia, acccording to Google Earth ni mikoa kama ya Manyara, Arusha, Kilimanjaro, Dodoma, na nusu ya Singida inaonekana kuwa na ukijani, ihali nusu ikionekana kuwa na hali ya jangwa.

Kwa kutumia picha hizi za google earth ninamuomba muheshimiwa kuwa watu wa mikoa hii ambayo inaonekana kuwa imeathiriwa na ukame, wapate msaada wa chakula cha dharula iwapo hali itabidi, pia wale walio na mifugo kwenye maeneo haya yalioathiriwa na ukame, waruhusiwe kuihamishiak wenye mikoa inayonekana kuwa na hali ya kijani kibichi kama inavyoonekana kwenye picha za Google Earth.

In general,
Naungana na mheshimiwa Raisi kukiri kuwa suala la ukame limekuzwa na wafanya biashara na wanasiasa wenye nia ya kuichafua serikali yake, kwani kutokana na assesment yangu ya picha za google earth, inaonekana sehemu kubwa ya nchi ikiwa katika hali ya ukijani....
Mwisho wa Mjadala...

Sasa nimeamini kumtetea kiongozi wetu ni kazi kubwa inayohitaji uvumilivu wa hali yajuu. Sasa tumefika ku-google hali ya mvua nchini ili kuleta utetezi wa jambo lililowazi basi laana yetu sio ndogo. Kwenye ramani tunaona Dar ni ya kijani lakini uhalisia Dar hamna mvua, sasa anatokea moja wetu nakuamini Google badala ya macho yake. Aliyeturoga hawezi akawa hai. Hawezi.
 
  1. Kipindi cha uhaba wa sukari alisingizia, kuwa wafanyabiashara wameficha.
  2. Likaja suala la fedha kuadimika, nazo akasema kuwa mafisadi wameficha fedha.
  3. Issue ya DANGOTE akasema ni wajanja walitaka kujinufaisha na mradi huo.
Sasa kwenye suala la njaa, wanasingizwa waandishi wa habari...!
Mbaazi ikikosa maua husingizia jua...... Kama baa la njaa lipo litadhihiri tu kwani ni suala la muda tu. Aibu ya sukari, uadimu wa pesa katika mzunguko wa maisha, ufisadi mbona wameshindwa kuwaficha!!!!?
"pembe la ng'ombe halifichiki"
 
@kodofani picha za google sio real time tunaweza kua tunajadili picha za mwaka 2011
 
Hali halisi ya bara la Afrika ikilinganishwa na Tanzania kwa ujumla kulingana na picha za Google Earth...
Pichani, nchi nyingi za barani Afrika zinaonekana kuwa zimeshambuliwa na ukame, na kulingana na picha hizi, Tanzania inaonekana kuwa ina nafuu kwa kiwango kikubwa. Hata kama kuna maeneo yameathirika na ukame, bado ni jambo la kumshukuru Mwenyezi Mungu kuwa kuna maeneo yana unafuu na kuwaonya wanasiasa uchwara waache upotoshaji wa hali ya nchi... Google earth ni mtandao wa kitaalam, hapa hamna siasa wala propaganda. Kama kuna mwana siasa anataka kubishana na picha za satelite na ajitokeze, sasa, la sivyo akae kimya milele...
View attachment 458453
Unasikitisha, huo ukijani wa google earth unauelewa maana yake au unaangalia picha na kudhania mvua zinanyesha?
 
Kumekuwa na ubishani kuhusiana na hali ya njaa nchini na mengi yemeongelewa. Lakini ili kutatua ubishani huu na 'kumaliza' malumbano, ningeomba picha hizi zimfikie mheshimiwa Rais.

View attachment 458424 View attachment 458428 View attachment 458431 View attachment 458432

Assesment yangu ni hivi:

In general, sehemu kubwa kulingana na picha zilizopigwa na mtandao wa Google Earth zinaoesha kuwa zaidi ya asilimia sabini ya nchi iko katika hali ya ukijani.
Hiyo asilimia kama thelathini iliyobakia, acccording to Google Earth ni mikoa kama ya Manyara, Arusha, Kilimanjaro, Dodoma, na nusu ya Singida inaonekana kuwa na ukijani, ihali nusu ikionekana kuwa na hali ya jangwa.

Kwa kutumia picha hizi za google earth ninamuomba muheshimiwa kuwa watu wa mikoa hii ambayo inaonekana kuwa imeathiriwa na ukame, wapate msaada wa chakula cha dharula iwapo hali itabidi, pia wale walio na mifugo kwenye maeneo haya yalioathiriwa na ukame, waruhusiwe kuihamishiak wenye mikoa inayonekana kuwa na hali ya kijani kibichi kama inavyoonekana kwenye picha za Google Earth.

In general,
Naungana na mheshimiwa Raisi kukiri kuwa suala la ukame limekuzwa na wafanya biashara na wanasiasa wenye nia ya kuichafua serikali yake, kwani kutokana na assesment yangu ya picha za google earth, inaonekana sehemu kubwa ya nchi ikiwa katika hali ya ukijani....
Mwisho wa Mjadala...
Soma hapa ndio uone uhalisia sio kuangalia picha za google earth and you don't even know how to interpret
page1image560

Climate Prediction Center’s Africa Hazards Outlook January 12 – January 18, 2017

 Heavyrainfallisexpectedtoprovidereliefforseveralmoisture-stressedareas,butincreasetheriskof flooding in southeastern Africa.

page1image2280

1) Since December, increased locust numbers and breeding have been reported in western Mauritania, Western Sahara, and northeastern Sudan according to the Food and Agriculture Organization.

2) Below-average and erratic rainfall over the past several weeks has resulted in strong moisture deficits, degraded ground conditions, and poor crop prospects across many parts of Uganda, Rwanda, Kenya, bimodal and unimodal areas of Tanzania. Strengthening dryness has also been observed across southern Tanzania and northern Mozambique.

3) Insufficient rain during November has led to large moisture deficits and abnormal dryness, which have negatively affected cropping activities over parts of the Eastern Cape, KwaZulu-Natal, and Free State provinces of South Africa.

4) Insufficient rain since late November has strengthened rainfall deficits, resulting in abnormal dryness in eastern and southern Madagascar.

5) Several weeks of enhanced rainfall has resulted in excess ground moisture and is likely to trigger floods and elevate river levels throughout Zimbabwe, Mozambique and Malawi. Inundation along the Limpopo River has reportedly led to crop losses in the Gaza province of Mozambique.

Higher rainfall totals received over southern Africa.

Satellite-Estimated Rainfall (mm) Valid: January 1 – January 7, 2017

page2image4424

Figure 1: NOAA/CPC

In early 2017, well distributed, heavy rainfall was received throughout several countries in southern Africa. According to satellite rainfall estimates, the highest weekly accumulations (>100mm) were registered over parts of South Africa, western and central Mozambique, eastern Zambia, and northern Madagascar (Figure 1). Further west, more moderate rainfall amounts were observed across southern Angola and northern Namibia, however, drier conditions prevailed along the Atlantic coastline. Similarly, low, and poorly distributed rainfall amounts also continued across much of Tanzania. However, wetter conditions have continued to expand northward into southern Tanzania, Malawi, and northern Mozambique where low rainfall amounts were predominately seen during December.

Although southern Africa rainfall has gradually improved with respect to its spatial extent and quantity, which has helped to mitigate early season dryness, additional rains and ground moisture are still needed mainly over eastern equatorial and in parts of southeastern Africa. Analysis of the frequency of rainfall shows moderate to large shortages of rain days over much of Tanzania, Uganda, and northern Mozambique (Figure 2). Here, prolonged periods of little to no rainfall since the middle of October, have contributed to anomalous dryness and remain unfavorable for the development of crops. In Madagascar, rainfall has been comparatively more frequent; however, the accumulation of low totals on a daily basis has led to a rapid strengthening and expansion of dryness towards the south within the last month. A continuation of infrequent and poorly distributed rainfall in these regions during January is likely to negatively impact cropping activities, and further deteriorate ground conditions.

For the upcoming outlook period, a continuation of heavy rainfall is expected over much of southeastern Africa. Many parts of eastern Zambia, northern Mozambique, Malawi, and northern Madagascar are forecast to receive weekly rainfall accumulations > 75mm.

Favorable chances for average to above-average rainfall in South Africa.

In the Maize Triangle region of South Africa, a slow onset of the monsoon during October led to increased concerns of anomalous dryness and degraded cropping conditions following a very poor monsoon last year (2015-2016). However, seasonal rainfall activity has considerably improved since November, which not only neutralized early season moisture deficits, but has also significantly lessened the chances for a below-average season. SPP analyses indicate moderate to high likelihoods that rainfall will be average to above-average in the North West, Gauteng, Limpopo, and Mpumalanga states of South Africa before the end of February (Figure 3). Precipitation forecasts also suggest seasonable rainfall amounts during the next seven days.

Note: The hazards outlook map on page 1 is based on current weather/climate information and short and medium range weather forecasts (up to 1 week). It assesses their potential impact on crop and pasture conditions. Shaded polygons are added in areas where anomalous conditions have been observed. The boundaries of these polygons are only approximate at this continental scale. This product does not reflect long range seasonal climate forecasts or indicate current or projected food security conditions.

Satellite-Estimated Number of Rain Days Anomaly Valid: October 10, 2016 – January 7, 2017

page2image35816

page2image36744

Figure 2: NOAA/CPC

page2image39328

Seasonal Performance Probability (%) Valid: December 01, 2016 – February 28, 2017

page2image42944

Figure 3: NOAA/CPC

Questions or comments about this product may be directed to Wassila.Thiaw@noaa.gov or 1-301-683-3424.
 
Assessment yako isn't scientific soma hapo chini

Umetoa maelezo mazuri sana lakini hofu yetu siyo leo hicho kijani ili kiendelee kinahitaji mvua, na mazao ya chakula yanahitaji si mvua tu bali mvua wakati mnataka, ni ukweli kwamba mvua zimekata na mazao yamekauka kwa hio wenye uzoefu tunajua kinachofuata ndio maana viongozi wa dini ambao wamekua wakiunga mikono serikali hata kwa mambo ya hovyo, kwa hili wamegoma kwanini? Coz busara ya kawaida imewaambia ni miezi sita kila kitu kitakuwa wazi
 
Waziri mkuu aliyepita aliwahi kutembelea Wilaya moja huko kusini, bahati mbaya waliondaa eneo la kufwahutubia wananchi lilikuwa limezungukwa na manyasi marefu kumzidi kimo cha mheshimiwa waziri mkuu. Baada ya kuzungumza na wananchi, alikaribisha maswali na malalamiko yoyote kama yapo kutoka kwa wananchi waliofika pale. Swali la kwanza alilolipokea ni kilio cha wananchi kuwa wananjaa katika Wilaya yao hivyo wakamtaka Waziri mkuu awaletee chakula cha msaada. Ombi lile lilimshitua mheshimiwa na ndipo alipowataka kila mmoja wao ageuke na kuangalia nini wananona mbele yao. Wengi wao walishindwa kutambua ni nini wanaambiwa waangalie, bila kumung'unya maneno, aliwakatalia wananchi wale kuwaletea chakula cha msaada kwa vile Wilaya nzima ilionekana imejaa manyasi yaliyostawi badala ya mazao ya chakula. Tafsiri yake wananchi wale walikuwa hawajahamasishwa na viongozi wao kufanya kazi za kilimo cha mazao ya chakula ndio maana wananjaa. Akawateua viongozi kadhaa wa vijiji kwenda Monduli ambako kulikuwa na njaa ya kweli kutokana na ukame ili wakajifunze maana ya njaa. Sasa maeneo ambayo inadaiwa kuna njaa wakati yapo manyasi yaliyostawi badala ya mazao ya chakula wanapaswa kunyimwa chakula cha msaada au wapo watu wanachagua aina ya mazao ya kupanda kwa madai aina nyingine hawali wakati wanajua hayastahimili ukame, nao hawa wanapaswa kunyimwa chakula cha msaada. Vile vile wapo watu wenye tabia ya kuuza chakula chote bila kuweka akiba na kibaya zaidi fedha zinazopatikana hutumika kuandaa ngoma zisizo na msingi nao wanyimwe chakula cha msaada. Umefika wakati tufanye kazi ya kuzalisha chakula cha kutosheleza familia zetu cha ziada ndio kiuzwe.
 
Back
Top Bottom