Nicholas
JF-Expert Member
- Mar 7, 2006
- 25,260
- 7,198
Imefikia mahali kuwa waziri mkuu unahitaji roho ya simba(WENYEWE WANAKUAMBIA HISTORIA INAONYESHA HAKUNA WAZIRI MKUU KAWA RAIS ZAIDI YA NYERERE BAADA YA KUISHI SIASA ZENYE AFADHALI ZA MKOLONI).Nchi ya CCM na rais wa kama mungu, waziri mkuu ndio wa kutoa matamko na kukimbizana na vitu ambavyo baadae vikileta aibu yeye ndie anabeba. Ni kawaida sana mawaziri wakuu wa hii nchi kujikuta wakitakiwa kulia hadharani, kutoa matamko yasiyo na weledi baadae kuwa dhihaka katika jamii.
Tangu enzi ya Kawawa,mawaziri wakuu ndio kafara mbaya sana. Tumeona Mtoto wa Mkulima alia Bungeni baada ya kuulizwa maswali mepesi tuu na wapinzani wasio hata na polisi,wasio hata na spika wa bunge kuwalinda.
Tuliona Issue za Richmond na mwisho wake kwamba EL alitolewa kafara na kuachwa huko huko katika kashfa.Hakuna hata wa kusema ahsante kwa kuniokoa.Na mwisho aliyekosea hajaadhibiwa,na matokeo yake hakuna aliyeadhibiwa ingawa CCM bado wanakomaa abaki na tope walilombandika. CCM KWA AKILI ZAO WANADHANI NI UGANGA WAZIRI MKUU HAWEZI KUWA RAIS KUMBE NI SIASA MBAYA ZINAZOZUNGUKA UWAZIRI MKUU.
Kwa muda huu,waziri mkuu baada ya kuingia ngorangoro n amikakati yenye makosa,maswali na changamoto zenye makosa,katoka kimya kimya.Sasa anahitajika kukimbizana na KUNA NJAA HAKUNA NJAA.