Mchange hana sifa za kuwa mgombea ndani ya cdm kwakuwa sio mkristo
Nafasi ya Uenyekiti wa Chadema ni ya Mbowe mpaka atakapomrithisha mwanae.
Supu ya utumbo wa kitimoto imewalevya. Fedha alizouza ubunge hazijaisha?
Mwenyekiti wa ACT Mchange, how are you?Akihojiwa na mwandishi redio Saut sasa anasema atagombea uenyekiti wa chama cha chadema na anasema atamshinda F.Mbowe.anasema chadema inahitaji mtu kama zzk ama yeye.
Anadema Mbowe hajawahi kushinda uchaguzi ndani ya chadema.
My take:Mchange ni small entity kuivuruga chadema.
Waliokuwa wanamtuma wameingia mitini na hawana hamu naye tena. Aliyoyafanya hasa baada ya kwenda Star TV yame back fire na sasa anaonekana ni kikaragosi tuu. Na sii yeye tuu mpaka wale waliomlea na kumkuza hadi kuwa kubwa jinga. Imeandikwa "mtoto mpu.mbavu ni fedheha ya mamaye"Mwenyekiti wa ACT Mchange, how are you?
Waliokuwa wanamtuma wameingia mitini na hawana hamu naye tena. Aliyoyafanya hasa baada ya kwenda Star TV yame back fire na sasa anaonekana ni kikaragosi tuu. Na sii yeye tuu mpaka wale waliomlea na kumkuza hadi kuwa kubwa jinga. Imeandikwa "mtoto mpu.mbavu ni fedheha ya mamaye"
Atagombeaje chadema wakati yeye ni ACT?
Kamanda OKW unasemaje mtalaam?Huyu ------ amepigwa biti na demu jana akakimbia jukwaa
Ha! Ha! Ha! Haaaa !!!Akihojiwa na mwandishi redio Saut sasa anasema atagombea uenyekiti wa chama cha chadema na anasema atamshinda F.Mbowe.anasema chadema inahitaji mtu kama zzk ama yeye.
Anadema Mbowe hajawahi kushinda uchaguzi ndani ya chadema.
My take:Mchange ni small entity kuivuruga chadema.
Kamtelekeza .Mshauri mkuu wa Zitto ndiyo huyu
JF inakusanya hadi mapumba.Hawezi kuuachia uwenyekiti maana alipewa na mkwe wake ambaye ndiye mwenye chama.