Ni heri ya Lowassa!

Ni heri ya Lowassa!

ingekuwa wote ni wapiga dili, Baba, mama na watoto wangekuwa wezi.
 
Kitendo cha Luwasa kudharau juhudi za serikali iliyopo madarakani ati kwanini inunue ndege kwa gharama kubwa wakati wananchi wa Tabora hawana maji, nadhani amekosa uwezo wa kufikiri. Utalii ndio unaoongoza kutuingizia fedha za kigeni, na wengi wao wanapitia Nairobi ndio waje kwetu wakiwa hoi wamemaliza fedha zao. Sasa tukiwa na ndege zetu tutaokoa kiwango kikubwa sana cha pesa kutoka kwa watalii maana watakuwa wanakuja moja kwa moja na kuanzia hapa kufanya utalii. Hivyo serikali ikiwa na hela nyingi hao waanchi wa Tabora na wengine watapata huduma za msingi likiwemo la kupewa maji. Mipango kama hiyo hufanywa na viongozi wanaoona mbali sio wanaona umbali wa upeo wa macho yao.
 
Haya ni kwa mtazamo wako tu, lakini ukweli ameusema.
 
Msifuni lakini Urais hapati! Nchi haiwezi kufanyiwa majaribio kwa kuwapa Wapinzani!!
Mbona iko kwenye testing kwa sasa, wewe hujui! Jiulize kwanini watu waliambiwa wavumilie?
 
Ni heri ya Lowassa,

Ni heri kabisa huyu kiongozi ambaye ametumia theluthi mbili ya maisha yake kwenye uongozi wa kisiasa, hana shida, hana tamaa, hana wivu na wenye nacho, hana lugha mbaya,hana vitisho, hana mabishano na hana maneno mengi.

Uongozi wa Lowassa usingeweza kuwaita wanadamu mashetani never, hana tabia hivyo na haijawahi kusikika! Si mtu wa lugha lukuki,ispokua maneno machache kazi kwa sana.Asingeweza kuona watumishi wakilia na maslahi duni ya kazi zao huku maisha yakipanda kila kukicha.

Ni heri mwizi tunayemjua akatubia maisha yasonge mbele kuliko kuishi katika hofu,taharuki, kukosa Uhuru w kutoa maoni na kujadili taifa letu.Nchi inaongozwa kwa misingi ya katiba na sheria isingiwezekana Lowassa akavuka mpaka yake ya uongozi.

Kwa uvumilivu wa kisiasa aluokwisha uonesha umma na dunia juu ya figisu figisu wakati wa Uchaguzi mkuu 2015, isingewezekana kwa kiongozi mwingine kuvumilia haya. Pia kwa hakika utulivu uliopo Zanzibar kwa sasa nina uhakika kua upo mchango Mkubwa sana wa kiongozi huyu na nadhani matunda yake tutayashuhudia.
Tamaa yake na wizi wake unafuta yote.
 
Wewe huna akili kabisa, Castro alikuwa na uzuri gani?
aliwafanya wa Cuba waishi Kama mashetani Kama jamaa yako juma, Cuba ikageuka na kuwa magofu, mamia ya wa Cuba wakawa wanakimbilia Marekani na wengine kuzama baharini.
aliimarisha jeshi ili asipinduliwe.
Castro hakuwa na uzuri wowote, aliingia madarakani Kama mkombozi wa wacuba lakini akawageuka na kuwa mwiba, hiyo ndo kawaida ya Madikteta wengi duniani, akawanyima Uhuru wa habari wananchi na kubakiza vyombo vya serikali tu.
Nyie mitoto mliozaliwa miaka ya 1980 akili zenu ni za kushikilia na superglue.
hamjitambui kabisa.
Unaongea kama wale wakimbizi wa kiuchumi wa cuba walioko miami. kama wewe ni mtanzania mwafrika nahisi huna elimu ya juu lakini una vihela ndio maana umemezeshwa kirahisi fikra kwamba fidel castro ni shetani.
 
Ni heri ya Lowassa,

Ni heri kabisa huyu kiongozi ambaye ametumia theluthi mbili ya maisha yake kwenye uongozi wa kisiasa, hana shida, hana tamaa, hana wivu na wenye nacho, hana lugha mbaya,hana vitisho, hana mabishano na hana maneno mengi.

Uongozi wa Lowassa usingeweza kuwaita wanadamu mashetani never, hana tabia hivyo na haijawahi kusikika! Si mtu wa lugha lukuki,ispokua maneno machache kazi kwa sana.Asingeweza kuona watumishi wakilia na maslahi duni ya kazi zao huku maisha yakipanda kila kukicha.

Ni heri mwizi tunayemjua akatubia maisha yasonge mbele kuliko kuishi katika hofu,taharuki, kukosa Uhuru w kutoa maoni na kujadili taifa letu.Nchi inaongozwa kwa misingi ya katiba na sheria isingiwezekana Lowassa akavuka mpaka yake ya uongozi.

Kwa uvumilivu wa kisiasa aluokwisha uonesha umma na dunia juu ya figisu figisu wakati wa Uchaguzi mkuu 2015, isingewezekana kwa kiongozi mwingine kuvumilia haya. Pia kwa hakika utulivu uliopo Zanzibar kwa sasa nina uhakika kua upo mchango Mkubwa sana wa kiongozi huyu na nadhani matunda yake tutayashuhudia.

MUNGU kamwe asingekubali mpiga dili atawale nchin hii. Mpiga dili ni hatari kuliko kiongozi yeyote. Fikiria pesa aliyotumia akiwa CCM ili tu apitishwe na CCM kugombea, angeirudisha vipi kama sio kupiga dili? Alihakikisha kuwa kama angepigiwa kura kwenye kikao chochote cha CCM angeshinda kwa sababu alishawanunua kwa PESA wajumbe wa hivyo vikao. Mungu akawaongoza viongozi wetu hakufikishwa kwenye kura. Halafu baada ya kutemwa na CCM fikiria mabilioni aliyotumia kununua CHADEMA, japo zilichangwa, lengo likiwa aingie Ikulu, zingerudishwaje kama sio kwenye dili? Halafu kwa muda huu angalia vijana aliowaajiri na kuwaweka kwenye mtandao kuisema vibaya serikali na kuonyesha hakuna kitu kizuri kinachofanywa na serikali hii. Hawa vijana wanalipwa wastani wa shilingi 1,000,000 kwa mwezi. Piga hesabu mpaka kufikia 2020 atakuwa ametumia shilingi ngapi, lengo tu ni kuingia Ikulu. Hizo pesa zitarudishwa vipi? Na huko Ikulu kuna nini? Kwa Mungu huyu wa Mbinguni huyu jamaa KAMWE hatakaa auguse mlango wa Ikulu.
 
Uzuri wa Lowassa husimama na ahadi aliotoa na kufanya kama alivyoahidi.
Sasahivi wazee wetu wa vijijini wasingekuwa na shida ya maji. Hata wahanga wa tetemeko wapo kwenye makaazi mapya au yanajengwa na kusubiri yamalize.

Lowasa alikuwa waziri wa maji kwa nini hakupeleka hayo maji huko vijijini? Alikuwa waziri mkuu kwa nini hakushinikiza maji yapelekwe huko vijijini?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom