Kampeni zina vituko kweli, yaani kaamua apaki gari lake badala yake atembelee miguu na baiskel! Duh! sielewi lengo lake nn hasa, au hataki aombwe lift? Kwani wakati wa kampeni wagombea wote huuvaa wema na upole, nadhani ameuvua utajiri wake na kuuvaa umaskini kwa muda tu. TUWASAIDIE NA...