Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,815
Katika mradi ambao ujulikanao kama W -7X Stellarator Nuclear fusion Reactor, ambapo Wanasanyansi wamefanikiwa kwa mara ya kwanza kuzalisha joto kama linalopatikana kwenye jua wameweza kufikia 1 000 000 °C lengo la mradi huu ni kuzalisha energy kama izalishwayo na Jua hapa Duniani na kuitumua kwenye uzalishaji wa Umeme!
´