Pikipiki aina ya boxer na kinglion

Kama uko mwanza bora ununue mwanza, dar boxer ni 2100000, kinglion 1700000.tofauti ya dar na mwanza ni ndogo ni kwa boxer ni kama 200000 na kinglion tofauti ni kama 150000.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom