Wakuu hatimaye nimefanikiwa kuongeza miaka 50 ya kuishi hapa duniani, mi nipo hapa Kaole Bagamoyo nikitokea Iringa, hapa Kaole kuna mti wa mbuyu mkubwa ambao unakadiriwa kuwa na umri wa miaka 800 hivi. Kwa historia ya hapa Kaole, ni kwamba ukiuzunguka mbuyu huu mara moja unaongeza mwaka moja wa kuishi duniani.
Sasa nilivyo na usongo wa kuendelea kula bata hapa duniani nimeuzunguka mara 50, kwa hiyo nimefanikiwa kuongeza miaka 50 zaidi. Asante sana Maulana mpaka raha yaani leo kwangu ni full burudaniiiii.
Jamani wale wazee wa JF karibuni Kaole muongeze miaka, shauri yenu, hapa nina miaka 20 na hii 50, jumla nitaishi miaka 70.
Weraaaaaaaaaaa!!