Nchi hizi hazistahili kuitwa nchi 'zinazoendelea' bali ziitwe za 'wajinga'

Kigundu

Member
Jul 28, 2015
79
24
Baadhi ya nchi zinazoendelea hazisitahili kuitwa hivyo(zinazoendelea) kutokana na sifa hizi: zina madini karibia aina zote,ardhi yenye rutuba,bandari,mbuga za wanyama,milima,mito,maziwa,bahari,nk lkn bado huitwa maskini! KWA NINI ZISIITWE NCHI ZA WAJINGA?
 
Ni nchi za wajinga kweli. Ingekuwa vema tundondoshewe makombora ya nyuklia. Hata dini nzuri tulizoletewa hazitusaidii ndio tunazidi Kuwa waovu na umaamuma wa kutisha. Somebody nuke us please
 
Baadhi ya nchi zinazoendelea hazisitahili kuitwa hivyo(zinazoendelea) kutokana na sifa hizi: zina madini karibia aina zote,ardhi yenye rutuba,bandari,mbuga za wanyama,milima,mito,maziwa,bahari,nk lkn bado huitwa maskini! KWA NINI ZISIITWE NCHI ZA WAJINGA?

Dunia sivyo kama unavyoifahamu mkuu, kwahyo usikashfu nchi...kashfu aliyekulea na kukujaza maarifa uliyonayo yanayopelekea uhukumu kwa misingi ya akili yako inavyofikiri.
 
Back
Top Bottom