Mimi nimesoma packaging material Technology. Ushauri mzuri inategemea na hizo boxi zinawekewa bidhaa gani, uzito,nature ya bidhaa.Hizo boxi kama zitatumika kama primary packaging au secondary packaging.Kuna vitu vingi sana atakuuliza designer wa packaging. Fanya utafiti kuna viwanda vya maboxi...
Wapendwa nauza madera kwa bei ya jumla.Niko manispaa ya Singida. Bei ni sh 14000/=. Kuanzia PC 10 na kuendelea.Napatikana kwa namba 0714-055281.Karibuni wadau.:dance:
Wadau frem inahitajika maeneo ya sokoni manispaa ya singida. Eneo lililochangamka.Biashara inayotaka kuwekwa hapo ni biashara ya nguo. Mwenye taarifa zozote atusaidie hapa. Karibuni:smile-big:
Kuna mengi ya kufanyiwa kazi kuhusu hii clip kabla ya kuanza kuwahukumu watu kwa imani zao. Intelligency kazi kwenu maana huu ni mwaka wa majanga mengi. Yawezekana akawa mwislam na yawezekana akawa si mwislam.
Baadhi ya wanaume ambao wake zao wamewazidi kipato huwa ni wakorofi na wakatili wakidhani hilo ndilo litampa heshima ndani ya nyumba .Pole dada kama ni kweli haya uliyoandika ila muombe msamaha mungu kwa yale uliyomkosea na simama kidete uwalee wanao wasijeishi kama yatima ilhal wazazi mpo.
Kwa uchambuzi wa hapa mpaka muda huu kuhusu huyo aliyetajwa kama mume wa zari na tabia anazotajwa kuwa nazo kama ni kweli wadada wana kazi jamani.Najiuliza hata huyo zari aliwezaje kukaa na mwanaume mwenye tabia kama hizo mpaka akazaa na watoto. Pesa ni janga la kitaifa kwa kweli dada zetu...
Moja ya njia za kukuza uchumi ni kuzalisha bidhaa za ndani na uuzaji katika masoko ya ndani na nje. Sasa kama hatuna bidhaa tunazouza zaidi ya kuagiza na kutumia uchumi kupanda ni ndoto.
Msisitizo uwe kuuza bidhaa zilizoongezwa thamani kwa maana ya value addition na sio kusistiza tu kulima...
Mwacheni na maisha yake jamani mnavyomfuatilia kila analofanya naye ana uhuru na anachokifanya .Mleta mada hana uhakika vilevile kama mada inavyojieleza. Na yeye si wa kwanza kuachwa na Diamond kwanini iwe kero kwake tu jamani.Kuwa wapenzi na kuachana ni jambo la kawaida hata kwa wasio mastaa...
Anakutega hakuna cha kukosea sms.Kwanza inawezekana hata huyo mwanaume hana anapima mapenzi yako kwake.Na kukaa kimya kutokumjibu umefanya la maana sana kwa kuwa unampa wakati mgumu wa kukuelewa uanachowaza.Kifupi we tulia tu na onyesha hakuna jipya tena kuwa bize na mambo yako kama vile...
Mchunie au kama una mume au mchumba ongelea mambo mazuri unayoyapenda kwa mchumba/mume wako wakati mkiwa naye.Atakuacha mwenyewe bila taarifa.Kwa kifupi muonyeshe kuwa una mambo yako na asikusumbue.Yanawakuta wengi hayo katika kazi ila msimamo wako unahusika saana kwenye kumaliza tabu kama hizi.
Msisherekee kuwaharibia watoto wa watu maisha waokuja kutafuta rizk majumbani mwenu.Fikiria huyo unayesema hivyo angekuwa mwanao maisha magumu kwako,kaenda kufanya kazi halafu baba mwenye nyumba anamfanya mke.Nyie wanaume kuweni na huruma na watoto wa wenzenu .Na mpaka baba unatembea na hg...
Kwanza mkeo bado anakupenda ila anataka kujiridhisha kama kweli hayo mambo umeacha na ilikuwa bahati mbaya kweli.Pili anataka kujua kama unampenda utavumilia kama yeye alivyokuona na mwanamke na akakusamehe.Tatu anajitambua kwa hiyo anataka uthibitisho kama wewe ni mzima kwa kifupi kapime...
Kwa kweli madactari walau wanajitahidi kwa sababu wanakutana na mengi sana katika kazi.Tena ukampata anayemjua mungu wake na anajiheshimu utaishije kwa amani na furaha?
Tabu bwana kutana na baadhi ya wahandisi wanaojitambua na fani zao sasa na mkwanja upo hehee, utajuuta kudate au kuolewa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.