Nachukia hii tabia ya co worker

Nachukia hii tabia ya co worker

Bastola nyie nao muwe mwanunua maana kuna watu wansumbua
 
Nikiandika kwa kirefu ntatukana, lakini huyu mkaka alijifanya anajua kukea maana kila muda ananichek, mara tukale , mara sijui nini, yaani me nikajua nature wanaume kucare wanawake, naombe itambulike sio kwamba ananipa ofa au nini, ila tukale tu wote, kukiwa na ruti anapendekeza tupangwe wote, kukiwa mna kazi tuwe wote team moja.

Sasa ameanza katabia ka kunionyesha picha za ajabu mara khanga moko , mara kigodoro, mara baikoko, me nikiona tu naipotezea, sasa kakazana me sielewi nimemwambia sizihitaji lakini namuona ananikomalia, acha kujifanya mtoto hivi vya kawaida tu, basi nimemchukia hadi ofisi nzima imejua nimechukia maana alikua shost hasa, ye anadai hana nia mbaya anaenjoy tu kua karibu,
jamani nishaurini nidil nae vp nisiathiri mahusiano ya kazi

Umechukia hadi ofisi nzima imejua? Dah...hizo ni dalili za immaturity
 
Hayatuhusu. Kaeni chini myamalize.

pengine anapenda aangalie yeye tu.sio na mtu wa jinsia nyingine
Wewe umejuaje haya majina kama nawe si mpenzi wa hizi nyanga?

Otherwise the whole thing ni stori tu ya kufurahisha jamvi
 
Nikiandika kwa kirefu ntatukana, lakini huyu mkaka alijifanya anajua kukea maana kila muda ananichek, mara tukale , mara sijui nini, yaani me nikajua nature wanaume kucare wanawake, naombe itambulike sio kwamba ananipa ofa au nini, ila tukale tu wote, kukiwa na ruti anapendekeza tupangwe wote, kukiwa mna kazi tuwe wote team moja.

Sasa ameanza katabia ka kunionyesha picha za ajabu mara khanga moko , mara kigodoro, mara baikoko, me nikiona tu naipotezea, sasa kakazana me sielewi nimemwambia sizihitaji lakini namuona ananikomalia, acha kujifanya mtoto hivi vya kawaida tu, basi nimemchukia hadi ofisi nzima imejua nimechukia maana alikua shost hasa, ye anadai hana nia mbaya anaenjoy tu kua karibu,
jamani nishaurini nidil nae vp nisiathiri mahusiano ya kazi

Mbona hii ni dhahiri kuwa jamaa anakutaka? Au unasubiri ishara kutoka mbinguni? Utaruhusu vipi mazoea ya kupita kiasi vile na opposite sex? Lazima kuwe na kiasi katika mazoea sio kupita kiasi vile na wanaume huamini hakikisha mwanamke kaget comfortable ili asense security na protection na wewe haitapita muda utamuondoa.Kwa wanawake wote mwanaume yeyote maadamu si baba yako, kaka yako, mwanao au mjomba wako ukiweka mazoea ya kupita kiasi uko kwenye orodha ya kupigiwa hesabu kuliwa pachuchi si shemeji mme wa dada yako, kaka au mdogo wa mmeo, rafiki wa mmeo au mpenzi wako, rafiki wa kiume, mfanyakazi mwenzio wa kiume, mwanafunzi mwenzio wa kiume haijalishi maadamu wee sio ndugu yake na jamaa anakutamani utajikuta unaliwa cha maana nikuweka limits katika mazoea sio ooo shemeji uko wapi naona uko lonely ndugu yangu kasafiri njoo unywe bia moja baridi tukutoe mawazo hiyo ni hesabu ya kuliwa pachuchi shemeji wa kweli atakuita na mmeo au atakuita akiwa na mkewe sio muwe wawili ndani ya kumi na nane
 
Kwa hiyo dada suprise unahisi kitu gani? mbona hizo picha ni za kawaida ila nijibu kwanza swali langu hapo juu ndio tuendelee
 
Acha bhana, love n hate wapi, kwanza namshangaa nashindwa nimfanyaje kiukweli ananibore ila nisiseme sana maana nikizidi chukia utasema ndo love n hate inazidi

Usijali wangu, sitakuonesha tena., ila tu naomba tuurudishe urafiki wetu kama mwanzo pliz
 
Mchunie au kama una mume au mchumba ongelea mambo mazuri unayoyapenda kwa mchumba/mume wako wakati mkiwa naye.Atakuacha mwenyewe bila taarifa.Kwa kifupi muonyeshe kuwa una mambo yako na asikusumbue.Yanawakuta wengi hayo katika kazi ila msimamo wako unahusika saana kwenye kumaliza tabu kama hizi.
 
Suprise kwa kuwa umeshaelewa anakoelekea, huna haja ya kujisumbua.. tumia akili nyingi na nguvu kidogo ....ila ukitumia nguvu nyingi na akili kidogo utaharibu kabisa na ofisi inaweza kuwa vinginevyo. Hii ni ishi ndogo sana kuimaliza. Remember to contain yaself, right sweetheart!!

Nikiandika kwa kirefu ntatukana, lakini huyu mkaka alijifanya anajua kukea maana kila muda ananichek, mara tukale , mara sijui nini, yaani me nikajua nature wanaume kucare wanawake, naombe itambulike sio kwamba ananipa ofa au nini, ila tukale tu wote, kukiwa na ruti anapendekeza tupangwe wote, kukiwa mna kazi tuwe wote team moja.

Sasa ameanza katabia ka kunionyesha picha za ajabu mara khanga moko , mara kigodoro, mara baikoko, me nikiona tu naipotezea, sasa kakazana me sielewi nimemwambia sizihitaji lakini namuona ananikomalia, acha kujifanya mtoto hivi vya kawaida tu, basi nimemchukia hadi ofisi nzima imejua nimechukia maana alikua shost hasa, ye anadai hana nia mbaya anaenjoy tu kua karibu,
jamani nishaurini nidil nae vp nisiathiri mahusiano ya kazi
 
Last edited by a moderator:
Inaonyesha umekwisha shikwa pabaya na ndiyo maana unaomba msaada; kwa kifupi wewe mwambie uko na mimi na uhakikishe kweli uko na mimi.Usipo maanisha hivyo, ni lazima ataendelea kukubana katika angle mbaya sana; na huenda ukajiua kwa usumbufu utakao upata/kumbana nao endepo hutatimiza haya ninayokueleza.
 
Sasa hili ni swali gani mkuu Lyamber..
Ulidhani ni mama wa nyumbani au, hata haop mama wa nyumbani wanajishughulisha ati..!
Sawa sawa kaka mkubwa nilijua huyu ni mwanachama mwenzetu wa ( Nafasi za Kazi na Tenda)...!!!!!
 
Back
Top Bottom