Yaani mkuu umeongea kimasihara lakini point tu ndio maana bado akimuuliza anajifanya anampenda kumbe hataki kupoteza kituo chakeila demu wako baunsa..kaenda jeshi! ,mi nataman kweli ila nguvu za mazoez sina kabisaaaa....
Halafu nahisi ukisema umfatilie fatilie ipo siku atakukata makofi.......shauri yako,usije sema hukuambiwa...
kabadili hadi geto bado tu unaumia, we mwache abanduliwe kwako atarudi maana kakuweka kituo chake..
Na vimbwanga hivyo anavyokufanyia humuelewi tuu !!!
Atakuwa anakushangaa kwa nini humuachi akaendelea na maisha yake na mpenzi wake mpya..!!
ini
niambie kuna nin
asa kama wewe umekataa mkeo asiende jeshi na hujanambia sababu je
Wanajeshi ma.la.ya sana. Nina evidence za kutosha.
Maswala ya mke wangu kuambiwa akalinde amani darfur nani anataka?
Yakhe!! Eti wanasema kizuri kula na mwenzio