Recent content by kigeleki

  1. kigeleki

    JamiiForums Tanzania Sahara Communications mnatia aibu

    tatizo la transmiter za mtumba!!!
  2. kigeleki

    JamiiForums Tanzania 'Msaada: Wananchi Wenye HASIRA KALI", nitawapata wapi hawa watu?

    ...ZZK v/s CDM
  3. kigeleki

    JamiiForums Tanzania Jengo la Bohari Kuu ya Madawa (MSD) lateketea kwa moto!

    weka picha mkuu
  4. kigeleki

    JamiiForums Tanzania 'Msaada: Wananchi Wenye HASIRA KALI", nitawapata wapi hawa watu?

    mkuu hao wako wengi tu!! tena siku hizi zinaitwa "MAHAKAMA JAMII" zinatoa hukumu shirikishi.Huna haja ya kutafuta wakili. Hi ni sawa na POLISI JAMII na ulinzi shirikishi!!
  5. kigeleki

    JamiiForums Tanzania Rais waokowe askari wa jeshi la zimamoto viwanja vya ndege

    kwa nn mnavutana mkuu?
  6. kigeleki

    JamiiForums Tanzania hivi kinachochelewesha matokeo form two ni nini?

    na ww ulifanya huo mtihani?
  7. kigeleki

    JamiiForums Tanzania KONYAGI= The Spirit of the Nation...!!!!!!

    juzi tu imemuua mtu shinyanga
  8. kigeleki

    JamiiForums Tanzania Mwaka mpya majanga...

    ah usilalamike sana, si unjua kuchapiwa ni siri ya ndani bhana!
  9. kigeleki

    JamiiForums Tanzania Hivi jeshi la zimamoto limeundwa kikatiba?

    Wana JF naombeni mnisaidie hili jeshi la zimamoto limeundwa ki katiba au na wajanja tu wa mjini ili kujihalalishia kupiga mpunga?
  10. kigeleki

    JamiiForums Tanzania Tanzania: Tatizo la ajira kwa vijana ni kubwa sana, lisifanyiwe masihara!

    mi naona litakwisha baada ya walioajiriwa wote watakapokufa !
  11. kigeleki

    JamiiForums Tanzania Nini tafsiri ya ndoto hii ?

    hapo huna haja ya kuhitaji msaada , we jiulize umewahi kuota ndoto ngapi tangu uzaliwe na zilikua na uhaalisia % ngapi then chukua hatua..
  12. kigeleki

    JamiiForums Tanzania Enyi Tanesco Shinyanga mna matatizo gani?

    kulipa bill
Back
Top Bottom