Ni siku ya nne sasa umeme wenu umekuwa wa mashaka,dakika 5 upo dakika 2 umekatika.
kama kuna mgao mtuweke wazi basi au hata mtuambie tatizo ni nini hasa,sio kuwa vimulimuli mtatuunguzia mali zetu bure na fidia msilipe,.
umeme wenyew mwaupandisha bei kila kukicha na bado kuupata mpaka jasho litutoke.
Tuambieni tatizo tujue kinachoendelea.