Kisa tuu nimeshidwa kumchangia hela ya gauni la 100,000 kwa ajiri ya engagement basi sasa hivi kaninunia na kunikasirikia
Na sio kama nimeshidwa kumchangia la hasha sasa hivi nina mambo mengi ikiwemo gharama za mahali na vikorokoro kibao natakiwa kuvitimiza siku ya engagement japo nilijaribu...
Yaani hawa watu sijui wakoje kipindi huna hela au huna issue ya kufanya hata siku moja huwezi kuona kuona simu yake akikutafuta mzungumze mpeane mawazo jinsi ya kutoka kimaisha hata ukimtafuta wewe unampa idea zako tufanyeje tutoboe maisha anakuona kama unajipendekeza kwake alafu hata ukiwa una...
Wakuu ningependa kufahamu mwanamke akipata ujauzito tumbo lake huanza kuonekana baada ya muda gani kubwa
Nauliza kwa maana kuna mahala tiyali mtoto wa mtu kabeba ujauzito wangu
Shida ya mwanamke wangu ni jeuri halafu akikosea ni mgumu kuomba msamaha
Ukimwelekeza jambo ambapo obvious amekosea yaani hakubali na ataanzisha ligi hiyo mpaka unafika hatua unaona bora yaishe unajifanya mjinga kwa muda ili mradi mambo yaishe .
Kwa kifupi mwanamke ana kiburi hatari hapa...
Nina mpenzi wangu week mbili zilizopita aliniomba ruksa kuna msiba mtaani kwao ambako amezaliwa na amekulia kuna kijana mmoja alikuwa amefariki kwa ajari basi nikamruhusu akaenda nami pia akaniomba nimsindikize tukaenda wote.
Sasa tangu huu msiba umalizike mpenzi wangu amekuwa ana huzuni sana...
Sasa Kama ilivyokuwa mwaka 1991 baada ya hali kuwa mbaya nchini urusi na nchi za kisoviet kipindi cha vita baridi vilipekea raisi wa urusi na kiongozi wa nchi za kisoviet kujiuzulu mwaka 1991
Je putin huenda akajiuzulu hali ikizidi kuwa mbaya kwa kama ilivyokuwa kwa michael gobachev alikubali...
Wagner ni secreat military private army ambalo limeasisiwa na KGB chini ya kachero putin na fidel casto wa cuba kwa kifupi hili ni jeshi la kukodi ambalo huwa linafanya kazi za kijeshi katika nchi yeyote pale
Kwa sasa lipo syria ndio wanaopambana na islamic state na ndio jeshi linalomlinda...
Safari ya mahusiano huwa ni safari yenye mambo mengi kuna wakati mahusiano unaona ndiyo chombo kinachokupa amani ya moyo.
Na kuna wakati mahusiano unaona kabisa hayakupi furaha ya moyo mbaya zaidi mwenza anaku treat vizuri anakuheshimu anakupa upendo wote ila basi unaona ila tuu haya mahusiano...
Safari ya mahusiano huwa ni safari yenye mambo mengi kuna wakati mahusiano unaona ndio chombo kinachokupa amani ya moyo
Na kuna wakati mahusiano unaona kabisa hayakupi furaha ya moyo mbaya zaidi mwenza anaku treat vizuli anakuheshimu anakupa upendo wote ila basi unaona ila tuu haya mahusiano...
Japo sio wote ila wana ndoa wengi siku hizi wanaishi kama maadui tatizo ni nini lakini yaani. Kuna watu wapo ndani ya ndoa lakini wakiwa ndani hawaongeleshani
Kuna watu wapo ndani ya ndoa kila siku ugomvi vikao vya kifamilia vya usuluhishi haviiishi. Kuna watu wapo ndani ya ndoa wanaona bora...
Huwa najiuliza kuhusu hili shirika la kijasusi la KGB la urusi ni moja katika ya shirika ambalo linasifika sana ktk maswala ya kijasusi lakini ilikuweje hili shirika wakashidwa kumpandikiza kibaraka wao akaiongoza ukraine kwa matakwa ya urusi
Lakini leo hii mpka vita inatokea ukraine ina maana...
Ila watoto wa nje ya ndoa sijui huwa wanawakuwaje akigundua baba yake mzazi ni mtu mmoja masikini sana wala huwezi kumkuta anajiangaisha kumtafuta kumjua baba yake.
Ila akishakuwa na fedha ndio toto utamuona anaanza kuangaika kumtafuta mjue baba yake
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.