Kifaru86
JF-Expert Member
- Apr 22, 2017
- 1,734
- 3,802
Huwa najiuliza kuhusu hili shirika la kijasusi la KGB la urusi ni moja katika ya shirika ambalo linasifika sana ktk maswala ya kijasusi lakini ilikuweje hili shirika wakashidwa kumpandikiza kibaraka wao akaiongoza ukraine kwa matakwa ya urusi
Lakini leo hii mpka vita inatokea ukraine ina maana urusi angepandikiza mtu leo hii haya yote yasingetokea na huyo kibaraka asingefata sera za nchi za magarabi wala usa
Lakini leo hii mpka tunavyozungumza sasa kama raisi wa ukraine yupo upande wa usa na anafata sera zao
Je, ni wapi KGB wamefeli tunaambiwa putin ni jasusi wa kimataifa mwenye asili ya izilaeli lakini why kafeli kupandikiza mtu wake pale ukraine