psychic powers,zipo na kwa mtizamo wangu ukishazielewa ndio utafahamu vizuri uwepo wa Mungu,kwa sababu tumeumbwa kwa mfano wa Mungu,na Mungu alimwambia Adamu nenda katawale ulimwengu,ktk hali ya kawaida ukiwa kiongozi kuna access unapewa,na ndivyo ilivyo kwa mwanadamu akapewa supernatural powers...
inamaanisha Usalama wa taifa wanazidiwa akili na wanasiasa,au kwa maana nyingine watu walioko kwenye idara hiyo ni vilaza(tiss) ambao wanawaongozwa na maitelejensia(wanasiasa)
Mi navyofaham kukatwa utakatwa tu sema una extend muda wa deni lako,wengi tigo wananunua virush from tigorusha badala ya kurecharge direct to their airtime wallet
tiss yetu bado sana,ikiwa kama mtu ni intelejensia unagundua kitu hatarishi cha usalama wa taifa kisha unapeleka sehemu husika,file halifanyiwa kazi,mimi naona ni ukosefu wa akili na uzalendo,kama if this people are real intelegence wangeondea huo mfumo unaokwamisha kazi za akili yao,ila...
Mkuu nimeipenda sana topic yako,imekaa vizuri ila kwa nyongeza zaidi ya jinsi ya kua tajiri,tungeanza msingi wa matayarisho kiakili,jinsi gani mabadiliko ya kimaisha yasiathiri shughuli zako,ila mi naamini utulivu wa akili ndio mwanzo wa safari ya utajiri,
Mkuu wa kaya mwenyewe alisema anashangaa?, ila mafanikio ya nchi yanatokana na mafanikio ya mtu mmoja moja, namaanisha kila mtu akifanya bidii kujiinua kimaisha,kisha tukawa na wananchi waliojiinua kimaisha inamaanisha itakua nchi yenye mafanikio
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.