21 qualities of self made millionaires je unazo?

STREET SMART

JF-Expert Member
Feb 19, 2010
807
622
KATIKA STUDY ILIYOFANYWA FOR 25 YEARS NA BRIAN TRACY(SUCCESS MASTERY ACADEMY), HE FOUND OUT ALL SELF MADE MILLIONAIRES HAVE THESE COMMON QUALITIES. HOLD YOUR OWN FEET TO THE FIRE NA JICHEKI UNAZO NGAPI KATI YA HIZI. DO HAVE WHAT IT TAKES TO BE A MILLIONAIRE?

1.Dream big dreams
2.Back from the future thinking(visualize the success you want then, think what to do to get there)
3.Commit to excellence in your chosen field(be really good at your business/career)
4.Develop your unique talents & abilities(find your area of specialness)
5.Accept 100% responsibility(you are where you are because of yourself)
6.Develop a clear sense of direction(what is your mission in life)
7.Refuse to consider a possibility of failure(fear of failure is a no 1 reason for failure)
8.Dedicate yourself to life long learning in your career/business (continuous learning is a key to competitive advantage, read 1 hour every day)
9.Develop a hard working mentality(successful entrepreneurs work 60 hours per week)
10.Get around the right people (positive people with goals,who are going somewhere with their life)
11.Be prepared to climb from peak to peak (success is a matter of 2 steps forward one back)
12.Develop resilience & bounce back (no matter what happens you wont stop/quit keep on keeping on)
13.Unlock your in born creativity
14.Become an unshakable optimist (look for positive lesson from every problem you face)
15.Dedicate yourself to serving others (be generous)
16.Develop reputation for speed & dependability (important task do it now, do it fast)
17.Be honest with yourself and others (tell the truth,live the truth,be the truth)
18.Concentrate single minded at one task at a time
19.Be decisive (any decision is better than no decision at all)
20.Have courage and persistence
21.Develop the quality of self discipline (self control,self mastery,self denial)
 
Why would I be millionaire while others are suffering for less and live more miserably?
 
ABDULHALIM: Abraham Lincoln aliwahi kusema, 'THE VERY BEST WAY TO HELP THE POOR IS NOT TO BECOME ONE OF THEM'
 
ABDULHALIM: Abraham Lincoln aliwahi kusema, 'THE VERY BEST WAY TO HELP THE POOR IS NOT TO BECOME ONE OF THEM'
The fact that we can't all be RICH is straightforward, na unakuwa tajiri ni kwamba umekusanya utajiri ambao ulitakiwa uwanufaishe mamia wengine, ila wewe na nafasi uliokuwa nayo unakuwa unavuna usipopanda..as simple as.

Kwa kifupi hakuna justification yeyote kwamba sote tumezaliwa uchi wa nyama lakini baada ya sekunde chache ya kuingia duniani(mind u , ambako hatukuomba kuja) hali zetu zinabadilika na kutofautiana baina ya mtu na mtu, tofauti ambayo inaeza kuwa kama mchana na usiku au mbingu na ardhi.

HII HAIKUBALIKI.
 
Being rich doesn't necessarily mean that one has reaped where they did not sow, does it? The rest of your justification is disturbing... to a non-socialist mind
 
Being rich doesn't necessarily mean that one has reaped where they did not sow, does it? The rest of your justification is disturbing... to a non-socialist mind

Utajiri hauji hivihvi mzee..Karibia kila mtajiri anavuna asipopanda isipokuwa tu anafanya hivo ktk framework ambayo tabaka tawala limeipitisha na kuikubali na kuiwekea muhuri wa 'legitimacy'. Awekeza leo sh. 100 kesho 'usubuhi' anaenda benki kuchukua sh200. Hiyo 100 ameitoa wapi wakati alikuwa akilala tu nyumbani kwake? This means someone, say mvuja jasho, has to toil to nourish this 'muekezaji'..as simple as that.

Mkuu concept ya 'utajiri' manake ni kuwa na 'excess' au 'surplus' iliopindukia...huu ndio ulafi, ubinafsi na ndio chanzo za social turmoils, vita na mahanagaiko mengine ambayo mwanadamu amekuwa akikumbana nayo kila siku. Kama binadamu kwa ujumla wetu tungeweza ku-overcome hili dunia ingekuwa mahali pazuri sana pa kuishi...at least ktk utopian society..lol

Binadamu wote ni wanyama na wana mahitaji sawa ya msingi, na ndio maana kule shule za chini tulikuwa tukijifunza sehemu za mwili wa mwanadamu sio categorized . When u accumulate for instance food, wakati wanadamu wengine ambao hawakuwa fortunate na mfumo wa kijamii wanakufa kwa njaa inasaidia'ni?

BTW, u r right mawazo yangu ni veeery disturbing kwa upande mmoja, ukitazama kutoka kwa pande zote unaeza kuta yapo kivingine.
 
Nimeipenda, hata matajiri wengi wana qualities ulizotaja, ukiondoa hiyo moja ya 17, tell the truth
 
The fact that we can't all be RICH is straightforward, na unakuwa tajiri ni kwamba umekusanya utajiri ambao ulitakiwa uwanufaishe mamia wengine, ila wewe na nafasi uliokuwa nayo unakuwa unavuna usipopanda..as simple as.

Kwa kifupi hakuna justification yeyote kwamba sote tumezaliwa uchi wa nyama lakini baada ya sekunde chache ya kuingia duniani(mind u , ambako hatukuomba kuja) hali zetu zinabadilika na kutofautiana baina ya mtu na mtu, tofauti ambayo inaeza kuwa kama mchana na usiku au mbingu na ardhi.

HII HAIKUBALIKI.

Kaka

Hapa kidogo inabidi binafsi nikubali, kuzingatia na hizo sababu zilizoletwa not all humans will have those qualities. Na hivi ni vitu ambavyo in most cases require individuals persistent and believe. Na watu hawa hawa ambao rafiki zetu at times wakifuata njia hizo ( particularly those who were not born with silverspoons in their mouth), tend to be labelled nerds, workaholic , megalomaniacs; you name it: for what they aim to achieve.

Hivyo we have to accept the rules followed by successesful people even if, not to a billionaire level but they consist many of those lines mentioned above.

This is where people dare say poverty is a culture, consisting of short sighted life goals, the culture of dependency and the fatalism approach to life. Ni kwa mising hii ndio many socialist countries have to come to accept socialism limits many to fulfil their potential if the state intervene and runs a command economy. Socialism also does not allow entepreneurship to develop, which is supposed to add employment and other economic benefits such as innovatives services fit for the time and technologies.

After all humans work best when greater rewards are involved, the best way to give people near equal chances in life is to create a good education system accessible to all. From there on let people make their own fates in life, one should not be blamed for his success nor for others miseries in life. Capitalism mustn't be looked at 'American' one all the time for reference, me to i think that one is too immoral, unfair and favours the thief in some sectors.

Nevertheless capitalism if supervised is the way forward, even the west have come to accept freemarket allows those with limited knowledge be exploited too much. Boundaries are now designed to deal with the problem, however in England it wont be under this government they love that freemarket thing the conservatives.
 
Kaka

Hapa kidogo inabidi binafsi nikubali, kuzingatia na hizo sababu zilizoletwa not all humans will have those qualities. Na hivi ni vitu ambavyo in most cases require individuals persistent and believe. Na watu hawa hawa ambao rafiki zetu at times wakifuata njia hizo ( particularly those who were not born without silverspoons in their mouth), tend to be labelled nerds, workaholic , megalomaniacs; you name it: for what they aim to achieve.

Hivyo we have to accept the rules followed by successesful people, even if not to a billionaire level but they consist of many of those lines mentioned above.

This is where people dare say poverty is a culture, consisting of short sighted life goals, the culture of dependency and the fatalism approach to life. Ni kwa mising hii ndio many socialism countries have to come to accept socialism limits many to fulfil their potential if the state intervene and runs a command economy. Socialism also does not allow entepreneurship to develop, which is supposed to add employment and other economic benefits such as innovatives services fit for the time and technologies.

After all humans work best when greater rewards are involved, the best way to give people near equal chances in life is to create a good education system accessible to all. From there on let people make their own fates in life, one should not be blamed for his success nor for others miseries in life. Capitalism mustn't be looked at American one all the time for reference, me to i think that one is too immoral, unfair and favours the thief in some sectors.

Nevertheless capitalism if supervised is the way forward, even the west have to accept freemarket allows those with limited knowledge be exploited too much. Boundaries are now designed to deal with the problem, however in England it wont be under this government they love that freemarket thing the conservatives.

Br Juma,

Nimekuelewa mawazo yako...Umesema kwamba sio watu wote watakaofuata hizo traits hapo, which is quite true, thats means if we agree with this 'selection' ina maana we accept principles of individualism na ubinafsi. Inaweza ikawa na facet ya uzuri kama ulivovyosema kwamba great reward inakuwa kaa driving force into success, individually. Lakini ukiproject hiyo concept ktk society or globally unakuta ina break-point, kwa sababu kama nivyopendaga kurudia ni kwamba our world is a closed system, hivo automatically hakuna nafasi kwa ajili ya infinite growth. Kwa misingi hiyo basi, dnio maana nadismiss hii mifumo inayochochea maendeleo ya mtu mmojammoja badala ya jamii nzima..theoretically speaking.

Hivo basi kuna watu wanapropose kwamba dunia i-abolish indivudualism, ubinafsi na forms zake zote na kuadopt mfumo wa Steady - state economy...ambapo hakuna hizi ridiculous fallacies kwamba kuna infinite materialistic resources for everyone to pursue independently.
 
We shouldn't look at an individuals' wealth, we need to look at what economic benefit the indivual brings to the social. Mfano bwana 'Malila' kaamua kwenda kulima along the way katafuta soko la bidhaa zake. Labda kwenye negotiations kagundua mteja anauwezo wakununua kulikoni uwezo wake wa kuzalisha kwa sasa.

Baada ya kujua bidhaa bado zinahitajika kuliko uwezo wake wa kuzalisha Malila kaja na plan nyingine ya kununua kutoka kwa wakulima wengine wadogo wadogo kuongezea mzigo wake hili akidhi mahitaji ya mteja wake. Kumbuka Malila anafanya hivi for profit purposes anakosa gani hapa kama a capitalist, it was his idea in the first place and determination that opened other opportunities. Sasa why should he be condemned for his hussle, wakati wengine wameanza kulima bila kujua where their market lies. Kwanza anawasaidia hata hao wakulima wadogo kuweza kuuza, kwani bila yeye hiyo miogo ingedodea huko huko shamba.

Hapa ndio serikali inabidi kuangalia kwamba malila anunui kihurahisi kiasi kwamba imfanye mkulima mdogo ashindwe kupata faida ya kulisha familia na kuweza kuendeleza kilimo chake.

Kwa mtaji huo benefit za Malila kwetu ni kuongezaka kwa chakula, kufungua soko la nje, kulipa tax (ambayo itasaidia serikali kuongeza miundombinu), kuwapa ajira wachukuzi hata kama yatakua magari yake ataajiri madereva, kununua kwa wenye mbolea, kuajiri watu wasio kuwa na kazi kwenda kulima kwenye shamba lake na wao kuweza saidia nyumbani kwao. Without him we loose all those benefits even if its little its still a loss na kizuizi cha maendeleo.
 
Br Juma,

Nimeielewa hiyo kadhia ya 'Malila'. Ukizingatia reference na mfumo wa sasa duniani, hana kosa, maana katiba na sheria za nchi kaa sio zote duniani zinalinda pursuit za dizaini hiyo.

Lakini ukiangalia the same scenario with diffrent outlook, its defficiency and flaws are so obvious. Chukulia deprivation ambayo 'Malila' ataisababishia jamii ktk mifano atafanya yafuatayo ili kumaximize profit ; atawalalia wakulima wadogo anaopanga kununua mazao yao na kuyauza, atawalalia vibarua, atamlalia transporter, atamlalia mlaji etc etc..hakuna uwezekano wa Malila kutengeneza faida bila ku-capitalize kwene hizo angle nilizozitaja. Hapa nimeeleza kwa kifupi tu the same case.

Sasa alternative kwa scenario kama hiyo sio rahisi, lakini ipo. Naamini binadamu wanaweza kuchagua aina ya maisha tofauti na hii ya ubinafsi na kutake advantage watu wengine, wakiamua..until that everything will remain the same.
 
Jamani sioni ubaya wa mtu kuwa tajiri tatizo ni jee umeupataje huo utajiri wako na unautumiaje? Kuna watu wanapata utajiri kwa juhudi,maarifa nk na kuutumia utajiri kwa kusaidia wwengine lakini kuna wengine wanaupata kwa ufisadi, kudhulumu hata kuuwa wengine na wakishapata utajiri hutumia utajiri walioupata kuwaonea wengine. Hapa kuna positive na negative kazi kwenu waungwana, Jee unataka kuwa tajiri kwa njia gani na kwa malengo yapi?. Ila kwa quality alizozisema zinazomjenga mtu kuwa tajiri nazikubali.
 
Br Juma,

Nimeielewa hiyo kadhia ya 'Malila'. Ukizingatia reference na mfumo wa sasa duniani, hana kosa, maana katiba na sheria za nchi kaa sio zote duniani zinalinda pursuit za dizaini hiyo.

Lakini ukiangalia the same scenario with diffrent outlook, its defficiency and flaws are so obvious. Chukulia deprivation ambayo 'Malila' ataisababishia jamii ktk mifano atafanya yafuatayo ili kumaximize profit ; atawalalia wakulima wadogo anaopanga kununua mazao yao na kuyauza, atawalalia vibarua, atamlalia transporter, atamlalia mlaji etc etc..hakuna uwezekano wa Malila kutengeneza faida bila ku-capitalize kwene hizo angle nilizozitaja. Hapa nimeeleza kwa kifupi tu the same case.

Sasa alternative kwa scenario kama hiyo sio rahisi, lakini ipo. Naamini binadamu wanaweza kuchagua aina ya maisha tofauti na hii ya ubinafsi na kutake advantage watu wengine, wakiamua..until that everything will remain the same.

Mkuu,
Kama unakubaliana na hizo sifa 21 basi usikose amani sana kwamba individualism itawatesa wengine,
Kuna ile sifa ya 15 ambayo huyo millionaire lazima awenayo ili kutimiza zote 21.
Here it is "15.Dedicate yourself to serving others(be generous)"
 
lol, I am not that naive mzee.

Chukulia Bill Gates na miradi yake ya kusaidia kuondosha malaria etc, lakini the same individual anakula faida kubwa kwenye biashara zake kwa kufanya manipulations na sarakasi mbalimbali, ambazo mwishoe humuumiza mtu maskini. Kuna maswala ya PC zilizotumika ambazo wanazidump huku Afrca maana recycling process is very expensive, kuna exploitation of labourers halafu kuna hii famous trick ya kufungua OS mpya bila ya sabbau za msingi. Kadhia zake hizi ni more damaging kuliko maneno yake ya shombo ambayo anayasema ktk kuiboresha image yake kwa jamii.

The bottomline is if u want to serve others try to be fair and don't steal from them.
 
Mzee unachokisema kina ukweli kiasi lakini kwa huo mfano wako inaonesha zipo sababu zinazofanya hizo used PCs
ziletwe kwetu.(mtazamo)
1)uchumi wa walio wengi ni duni kiasi cha kutoweza kununua product inayotoka kiwandani moja kwa moja.
2)nchi zetu zimeaminishwa kutegemea hisani za mataifa yalioendelea kwa kupenda au kutopenda.
.
.
.
Mzee Mengi naye unaye unamzungumziaje?

Mtajiri hao hao ndio wanaotumia facilities za kujenga mashule makubwa, mashine, reli, meli, ugunduzi mbali mbali unaleta maendeleo kama
PCs, internet, ndege, simu na madude mengine tunayotumia nyumbani, kazini, mahotelini......

Mbona tunawalalamikia wachina na bidhaa zao mbovu lakini bado tunazikumbatia? Tena sasa hivi wanakuja kwa kasi sana Afrika wanakuja kukamata fursa za wazawa na sisi tupo hapa hapa.
Baadaye wataanza kutuuzia bidhaa walizozalisha hapa hapa halafu tutaanza kuwalaumu.
Lipi jema?
Kama umewahi kusoma "Think and grow rich" kuna affirmation ambayo inaaminika kujenga attitude za watu(if u wanna be rich).
Inaitwa self confidence formula.
Zipo point 5 ila ile ya tano ndiyo ina-relate na mada yetu.

Fifth. I fully realize that no wealth or position can long endure, unless built upon truth and justice, therefore, I will engage in no transaction which does not benefit all whom it affects. I will succeed by attracting to myself the forces I wish to use, and the cooperation of other people. I will induce others to serve me, because of my willingness to serve others. I will eliminate hatred, envy, jealousy, selfishness, and cynicism, by developing love for all humanity, because I know that a negative attitude toward others can never bring me success. I will cause others to believe in me, because I will believe in them, and in myself.

Kama hujakisoma hicho kitabu this will not make sense to you.

here is the link Self-Confidence Formula
 
Naona bado unaongelea kuhusu personal pursuit, nimeshatoka huko mkuu. Naongelea global scale.

Nimeongelea kuhusu ''mifumo ya kibinafsi'' na athari zake, at least kwa kifupi. Huo mfano wa matajiri kutoa sijui hela ya kujenga shule, sikatai kwamba ktk mfumo wa dunia ya leo wanachofanya tunakipongeza, lakini mfumo wa watu kujilimbikizia mali ni mfumo ambao katu hautaweza kujenga shule za kumtosheleza kila binadamu, au tuseme kumtimizia kila mwanadamu mahitaji walau ya msingi. Uwezekano huo haupo kwa sababu resources zilizopo hazitoshelezi kukidhi greedy ya kila mtu na wakati huohuo kukidhi mahitaji at least ya msingi ya kibinadamu. Ukishamiliki mali ile mali inakuwa no longer available to the rest. Hicho ninachokizungumzia. Hivo basi mfumo bora ungekuwa kwanza unazingatia watu wote wapate mahitaji ya msingi.
 
Back
Top Bottom