Recent content by kifaru 1

  1. kifaru 1

    Mnazionaje huduma za Azam tv?

    Tutaziona wapi ss vingamuzu tushanunua zamani bwana
  2. kifaru 1

    Tupeni habari zinazijiri huko Machame,Kibosho,Marangu, Rombo na kwingineko Kilimanjaro

    Wadau ambao mna taarifa ama mna taarifa tuambieni vipi huko moshi kukoje maana hatafoleni hapa dar imepungua sana wachaga wameshapaa ! Toa taarifa ya maandalizi ya x mas kulingana na eneo ulilopo.
  3. kifaru 1

    Kwa wale wanaotumia magari binafsi kwenda Tanga, Kilimanjaro na Arusha tumieni barabara ya Bagamoyo

    Ndugu zangu mnaokwenda mikoa ya kaskazini hasa wachaga tumieni barabara ya bagamoyo ni fupi haina foleni.Barabara haina mawimbi na wale wazee wa tochi hawapo achaneni na Chalinze jamani.
  4. kifaru 1

    Kelele za miziki ya mabaa na kumbiza sherehe maeneo ya makaziya watu

    Ndugu wana Jf hivi kweli mamlaka zinazohusika hazioni ama zinaona zina kaa tu kimya ! Hebu fikiria unajenga nyumba unahamia unaishi baada ya muda mtu anajenga ukumbiwa sherehe ambao sio sound proof na makelele yote yanakuja kwako ! This is incompartible land use ! Pia ni noise pollution...
  5. kifaru 1

    Ewura na Gas za majumbani!

    Jamani ni rangi ya mitungi tu gas ni ile ile karbuni Mihan gas ni rahisi na salama mihan ni 52,000
  6. kifaru 1

    Jinsi ya kupunguza foleni kimara ubungo

    Kama sasa hii njia ys chuo nayo ni foleni nimekaa hapa muda tu! Hebu sikieni kilio chetu jamani? Mnyika nae yuko wapi wananchi wake tunateseka?
  7. kifaru 1

    Jinsi ya kupunguza foleni kimara ubungo

    Kuna hizi barabara za pembezoni kama hii ya chuo baruti na chuo kimara mwisho. Korogwe segerea .mbezi goba zingefanyiwa ukarabati hata kupitisha tu greda jamani! Hawa wasimamizi wa huu mradi mbona wanatunyanyasa? Utashangaa uko kwenye foleni na waziri .katibu mkuu ama hata na mkurugenzi wa...
  8. kifaru 1

    Bila Zitto mngeandika kipi.

    Umelambishwa nn?
  9. kifaru 1

    Jamani tufanye nn majanga kama haya yasitkee tena

    Hili ndilo basi la burudani lilopata ajali juzi tanga na kuua watu 12 hapo hapo
  10. kifaru 1

    Ajali daraja la Kawe/Mlalakuwa

    Jamani inakuaje unaweza kupiga picha zote hizo halafu unashindwa kueleza kilichotokea? Taarifa ni muhimu ikanyooka mkuu
  11. kifaru 1

    Dawasco kimara mnatia aibu

    Ndugu zangu hawa dawasco kimara naona kama ofisi imewashinda maana hawaji kusoma bill wala bill hawaleti ila kuja kukata maji kwa vitisho wanakuja! Wanavizia tu wakati watu wapo makazini wanakuja kukata maji tena kwa vitisho ili mtu aogope awape kidogo ! Kwa taarifa yenu tuna ushahidi hadi wa...
  12. kifaru 1

    Poorest road design ever

    Huyo jamaa nae ni miongoni mwao hao nn ? Dart mbovu usanii tu
  13. kifaru 1

    Brela wanaboa sana wajirekebishe

    Hata uwe na mkono mrefu hela wanakula na kazi hawafanyi
  14. kifaru 1

    Barabara ya DART mikosi mitupu

    Hawa mainjinia wetu waliosanifu na kusimamia hii barabara ya kimara feri nahisi uelewa wao ni mdogo sana maana hii barabara ni nyembamba huwezi overtake ! Makona kibao ! Nahisi ukikamilika ajali zitakua za nyingi sana!
Back
Top Bottom