Hivi tunakoelekea naona kiswahili kinakuwa kigumu kuliko kiingereza, maana naona makosa ya matamshi ya kiswahiki yanakuwa mengi sana. nadhani hii inatokana na shule za english medium ndio zimesababisha watu kutojua kiswahili fasaha. (ajali au ajari)?
sio kiswahiki ni kiswahili mkuu.
shashi + pombe (kumbe kwingineko inaitwa kinana) + wanawake hususan kahaba au mke/mume wa mtu + majivuno = Ajali kama mfano huu. Mrudieni MUNGU
Ni shisha sio shashi.