Recent content by kidonge ki1

  1. K

    JamiiForums Tanzania Pr.Abdallah Safari SIIMSIKII

    Nadhani hamkunijibu TROPICAL n MPUI,na badala yake n kashfa dhid ya Pr.Abdallah unaposema yeye n mbebaji wa mabeg ya mabosi,na ukumbuke Abdallah ni Prof.na n mtu mwenye uwelewa mkubwa hvyo usimgeuze kama TOY kwa jinsi TROPICAL uwezo wako wakufikir ulipofikia,,wanajamv mwenye kuelewa achangie na...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Pr.Abdallah Safari SIIMSIKII

    Wana jamv kwanza nawasalim aman ya mungu wetu iwe juu yenu,hivi Pr.Abdallah mbona kama kitambo sikumsikia mwenye habari kuhusu yeye na nafasi aliyonayo ndani ya CDM naomba an fafanunulie n sehem ya kujua pia usichokijua JF
  3. K

    JamiiForums Tanzania (Gregorian calendar) Is he pious?

    Mr.kituko naomba nkurekebshe AMRI KUMI ALIZOPEWA MUSA ZILIKUWA katika lugha ya kiarabu na sio kwamba zilikuwa zna ufanano na lugha ya kiarabu coz MUSA Mwenyewe lugha mama yake ni kiarabu na ndiyo aliyokua aki itumia,,na MISRI NI NCHI inayotumia lugat arabia na pia nchi hiyo ipo ndani ya MIDDLE...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Afungwa siku 14 kwa kuvaa mlegezo mahakamani

    Sasa tunahukumiwa hakim akiamua au ijapokuwa sifagilii milegezo,na vp kuhusu wanaovaa heren huku wakiwa ni wanaume nao pia wanakiuka coz nanukuu huyo akim"huu sio utamaduni wa mwafrika"je na huu wa kuva heren n utamadun wa mwafrika la msingi kama kuna mdau mwenye kifungu cha sheria...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Wametoka mbaali JOTI NA MPOKI

    Wadau mbna kama jazba,hapa haiongelewi OJ KOMED anaongelewa JOTI N MPOKI.hebu tutoe coment za mana kimpango huo hatutamaansha kuwa ss n GREET THINKERS,,mnyonge mnyongen hak yake mpeni n matumain yangu mmesha wanyonga vya kutosha sasa haki zao wapeni
  6. K

    JamiiForums Tanzania Ijue Familia ya Kabila Katika Picha!

    Romantic uko sahihi Joseph jina lake halisi ni Adrien Christopher Kanambe,wana tusome historia vzur,na baada ya Baba wa JOSEPH kupoteza maisha ndipo Laurent Kabila akamchukua Adrien na Mdogo wake wa kike ambapo waliish msasani Dar kabla ya kuelekea CONGO Hivyo JOSE n MTUTSI anaetawala CONGO na...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Tatizo la macho kuvimba na kuwa mekundu ukiamka kutoka usingizi

    Wana jamvi msaada,leo asubuhi na amka macho yamevmba nakua mekundu yakiwasha na kutoa machoz'na kuna tetesi kwamba mimi sio wa kwanza hata pia jiran yetu nae wiki ilopita alikua na tatizo kama langu ila hakwenda hospital bali aliosha kwa kutumia sabun na baada ya siku tano jicho lake likakoma...
  8. K

    JamiiForums Tanzania John Mnyika ana kwa ana na wananchi

    Majira ya saa kumi jion katika michakato mizima ya kupambana na maisha magumu yaliyo sababishwa na serikali iliopo madarakani,,nika ahairisha shughuli zangu za kiuchumi'na nikahudhuria katika mkutano wa hadhara wa MH. JOHN MNYIKA katika maeneo ya Kimara mwisho jana,akiwa akiulizwa masaala...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Vincent Nyerere ampa Mkapa vidonge stahiki

    unajuaje kama mshua wake JOSEPHAT NYERERE Kamweleza ujue wanaCDM hawaropokag wanauhakika na wanachokiongea n KIDONGE tu
  10. K

    JamiiForums Tanzania 2015

    Wana JF Mi kwa mtazamo napendekeza ktk chama che2 CDM 2015 2msimamishe ZITTO ZUBER KABWE ktk knyang'anyiro cha MR.PRESIDENT cna maana kwamba Mh dkt.SLAA hafai,,ila ni mtazamo tuu....
  11. K

    JamiiForums Tanzania Benjamini Mkapa akigombea tena 2015 itakuwa safi sana

    Ndio uliemuona pekee hakuna wengne?y??
  12. K

    JamiiForums Tanzania Uchimbaji wa uranium kuna nini?

    serikali ya Kikwete inataka kuitia hii nchi ya katka matatzo makubwa hiyo urinium tunaichmba ili nini?
  13. K

    JamiiForums Tanzania Watangazaji mnasomea wapi na nini?

    mara kwa mara huwa lugha yetu adhim inatumika vibaya,kwa waliomstar wa mbele kuchangia hilo ni wahusika wa vyombo vya habari yaani watangazaji na si wao tu hata sisi wananchi bado hatuna utumizi mzur wa lugha hii,kwa mfano kurudi nyuma kwa gar wanaita kupiga CHANYORO,ijapokua sio rasmi kwa...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Kamati kuu CHADEMA ndani ya Arumeru leo.

    2likua hapo leo 2kihakksha mshkamano thabt,mzizi dawa pia alitoa chachu yake kuhuxu jmbo la Monduli,hawana jpya wana ccm wakajpake poda xaxa...wao wakat umewadia
  15. K

    JamiiForums Tanzania Hofu yatawala Siyoi Sumari kukatwa na CC-CCM

    uksha ona hvyo ujue mabawa ya ccm yasha nyonyoka,na 2nardhia xana 2kiona mifarakana kat ya hawa mbweha
Back
Top Bottom