Ben Saanane
JF-Expert Member
- Jan 18, 2007
- 14,581
- 18,124
People!
Ni jambo la kushangaza sana.Tumefikia hautu kwamba tunataka kuwanyima watu fursa na haki za kikataiba kwa sababu mzazi wake alikuwa kiongozi eneo husika? Hoja ninayotumia kupinga vyeo vya kuteuana kishikaji ndizo hizo ninazotumia kulinda uhuru binafsi wa mtu kufuata mchakato wa kidemokrasia (as consitutional right) ya kugombe au kutafuta nafasi ya uwakilishi/uongozi. Kwa hiyo kwa kuwa Siyoi sumary kachaguliwa na watu let him be....tukutane nae kwenye majukwaa ya kwamba yeye au sisi tunaweza kuwafanyia nini watu wa Arumeru mashariki.So far,katika debate zinazoendelea hakuna anayejadili uwezo wa wagombe au vyama vyao katika kuwawawakilisha wananchi wa arumeru kwa hoja.
Labda tuujadili mchakato na njia iliyompatia ushindi.Kama ikithibitika katoa Rushwa basi hapo haki yake ya kikatiba ya ushindi alioupata itabidi iwe compromised.But again sitegemei CCM waweze kuchukua hatua madhubuti kwa maana ya kuwa na dhamira ya kupambana na Rushwa labda itumike kama kigezo cha kukomoana kimakundi tu
Any political success that was founded upon a corrupt value system that supported, spawned and was itself, in turn, sustained by corruption.In the process, the CCM is turning Tanzania into a criminal state.
Meanwhile,We also call on CCM supporters to call on the party and its leaders to a run a clean and credible election campaign as we seek mandate from Voters !