kweli kabisa kaka jidu(kama sijakosea) cha msingi ni kuwa na msimamo, haina maana kuwa kiingereza tukiache la hasha!! tujifunze kama lugha ya pili lakini si ifanye tupuuze lugha yetu!!! mfano tanzania ni nchi tajiri sana kwa madini,na mali asili nyigine, madini kama tanzanite huwezi yapata...
maelezo ya juu ni sahihi ila ya mwisho si sahihi, kwani umejidunisha mtoto wa mbwa hawezi kuandika wala kutoa hoja!!! Wewe si mtoto wa mbwa!!!! Je ni sahihi?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.