Recent content by Kidanda

  1. Kidanda

    JamiiForums Tanzania sifanyi mapenzi mpaka ndoa

    Umetisha asee, yani hakivuki hata labia.
  2. Kidanda

    JamiiForums Tanzania sifanyi mapenzi mpaka ndoa

    Hahahaa
  3. Kidanda

    JamiiForums Tanzania Kwanini Wanawake wenye majina haya yafuatayo huwa ni wazuri / watamu Kitandani?

    Unaweza kusema mkeo anajua kupika kumbe ni kwasababu hujala chakula cha MWANAMKE mwingine, tafuta 'samples' zaidi ili kupata hitimisho lenye uhakika.
  4. Kidanda

    JamiiForums Tanzania Nini maoni yenu juu ya internet ya Halotel?

    Kwa upande wangu, hakuna mtandao mzuri kwa internet kama Halotel. Wako poa sana.
  5. Kidanda

    JamiiForums Tanzania Mwanamke kutokunyoa nywele sehemu za siri

    Hizo ni siri za ndani wewe na dem/mke wako, kuleta jf ni kumdhalilisha hatakama hukumtaja. We mwanaume bhnaa funguka kwa mwenza wako ni nini unapenda. Kama wewe hupendi sisi wengine ndo tunapenda.
  6. Kidanda

    JamiiForums Tanzania Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

    0756-596289
  7. Kidanda

    JamiiForums Tanzania Kwanini Wanaume tusiopenda mpira "kabumbu" tunaonekana washamba?

    Hapo sasa mkuu! Watu wapo kazini we mishipa inakutoka tu, kazi yako inamtoa nani mishipa?
  8. Kidanda

    JamiiForums Tanzania Tetemeko( earthquake) limepita tena mkoani Mwanza

    Hiyo saa ulioandika mbona bado haijafika? Au Mwanza sio Afrika Mashariki!?
  9. Kidanda

    JamiiForums Tanzania Kwanini Wanaume tusiopenda mpira "kabumbu" tunaonekana washamba?

    [emoji12] [emoji12] [emoji12]
  10. Kidanda

    JamiiForums Tanzania Kwanini Wanaume tusiopenda mpira "kabumbu" tunaonekana washamba?

    Sio kweli hata kidogo, anaejitambua hawezi kujadili kitu kisichokuwa na faida kwake.
  11. Kidanda

    JamiiForums Tanzania Kwanini Wanaume tusiopenda mpira "kabumbu" tunaonekana washamba?

    Mi mwenyewe sipendi, mpira apende mchezaji mwenye manufaa nao sio wewe hata team haikujui kazi kukaa vijiweni kujadili mpira, tufanye kazi jamani tukumbuke wanaocheza mpira ndo kazi yao.
  12. Kidanda

    JamiiForums Tanzania Yanga walichomfanyia refa Mwanza ni hatari sana!

    Kweli kabisa!
  13. Kidanda

    JamiiForums Tanzania Kumbe ITV ni hata Mwanza?

    Nimefuatilia sikupata Jibu ni kwanini watu wanapenda taarifa ya habari ya ITV!
  14. Kidanda

    JamiiForums Tanzania Benki gani wanatoa mikopo kwa watumishi?

    Bank zote, ila kila bank wana mashart yao.
  15. Kidanda

    JamiiForums Tanzania Dunia inajadili tishio la "Nyuklia" sisi tanajadili "wrong parking" tena na risasi juu

    Kwahiyo kama Dunia inajadili nuclear ndo watu wapaki vibaya? Au ndo watu waibe? Halafu matumizi ya risasi yanamaana kutokana na jinsi yalivyotumika, so labda uweke wazi nani kapigwa risasi.
Back
Top Bottom