Recent content by KICHUNGWANI

  1. KICHUNGWANI

    JamiiForums Tanzania Leo Serikali inatarajia kutoa Orodha ndefu ya Majina ya waliotengeneza vyeti fake

    Vizuri wakifua mawe afadhali watapata chokaa kungarisha kuta:(:(:(:(
  2. KICHUNGWANI

    JamiiForums Tanzania Mgogoro wa CUF ni pigo kubwa kwa ukawa uchaguzi wa 2020

    Kulitokea udanganyifu mkubwa kwenye karatasi za matokeo ndio maana J S J aliamua kuhesabu kura, walipokataa akaDELETE
  3. KICHUNGWANI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nampenda mume wa mtu

    Olewa tu ama kuna kikwazo chochote kingine
  4. KICHUNGWANI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mimi ni mkristo na mpenzi wangu ni muislam na tunataka kuoana ila ndugu zake hawataki

    Hivi kama ni muumini wa kweli kweli jiulize nani ataongoza IBADA YA NDOA YENU
  5. KICHUNGWANI

    JamiiForums Tanzania Nataka nipate mimba, naomba msaada

    Endelea kuangalia mzunguko kwa miezi mitatu mfatano upate uhakika kwanza
  6. KICHUNGWANI

    JamiiForums Tanzania Tatizo la uume kusimama kwa muda mrefu

    Amekosa MKE ama akueleze sababu zilizosababisha tumsaidie
  7. KICHUNGWANI

    JamiiForums Tanzania Hivi sasa hivi hakukutokea wizi wa kura

    Tume huru inapatikanaje? :):):)
  8. KICHUNGWANI

    JamiiForums Tanzania Hizi ni mbegu za mmea gani?

    Kwa kweli hizi mengu tunaita MACHO YA FUFU na mti wake (Majani) ni dawa ya kifua utatengeneza kama juice na chumvi kidogo. Mimi mwenyewe nilikuwa na matatizo ya kuumwa kichwa wakati niko shuleni nikatengenezewa huo mti juice lakini sikujua imechanganywa na nini matatizo yaliisha. ...
  9. KICHUNGWANI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi michepuko wote mko hivi?

    Achana nae unafikiria alikuwa wako peke yako anakuchanganya uharibu hayo amunganisho yako
  10. KICHUNGWANI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Chombezo la weekend: Matumizi ya shanga kwenye mapenzi

    Yaonekana wapenda kufumua kiuwa wewe?
  11. KICHUNGWANI

    JamiiForums Tanzania Herufi tatu (3) tu!

    MTI
  12. KICHUNGWANI

    JamiiForums Tanzania Fatuma Karume: CCM just shoot in the dark

    No is Amani Abeid DAUGHTER
  13. KICHUNGWANI

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi wa CUF

    Wajumbe 152 wapiga kura 364 katiba imebadilishwa lini? Hii ndio CUF katika ubora wake wa ongezeko la KURA
  14. KICHUNGWANI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri: Nimechoka na hii hali ya kuachwa na wanaume

    Tatizo lako pamoja na maelezo yako ya kumshirikisha MUNGU ndio maana huyo huyo MUNGU ndio anakufanyia hivyo kwa kumkosea katika zile amri zake 10.
  15. KICHUNGWANI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Boss anajua siku zangu za period

    ASINGEKUULIZA KUHUSIANA NA HIYO HALI
Back
Top Bottom