Tatizo la uume kusimama kwa muda mrefu

ramsoshare

Member
Oct 17, 2016
65
48
Habari wanajamvi
Leo wkt nipo job kuna rafiki yangu aliniambia kwamba toka Jana uume umesimama na anapata maumivu makali, nini chanzo cha hilo tatizo?

UPDATE
Kuna MTU alimshauri akajimwagie maji baridi, kidogo imepungua kasi ila anaelekea hospitali kumuona daktari.
 
Kuna baadhi ya dawa zina viagra isije akawa kameza dawa yoyote bila kujua,matumiziw yake,pia mshauri akafanye mazoezi ya kukimbia ngoma taratibu itapoa
 
Habari wanajamvi
Leo wkt nipo job kuna rafiki yangu aliniambia kwamba toka Jana uume umesimama na anapata maumivu makali, nini chanzo cha hilo tatizo?

UPDATE
Kuna MTU alimshauri akajimwagie maji baridi, kidogo imepungua kasi ila anaelekea hospitali kumuona daktari.

Ulimhakiki? Pengine anakutaka. he he he lol
 
Back
Top Bottom