Hivi sasa hivi hakukutokea wizi wa kura

karume kenge

JF-Expert Member
Mar 9, 2016
568
421
Ni kawaida kwa wenzetu wana chadema kulalamikia wameibiwa kura sasa hivi sijasikia hizi habar sasa najiuliza kwenye uchaguzi huu mdogo hakukua na wizi wa kura? Na kama hakuna kunahaja ya upinzani kujitathmini upya na kubadili gia vinginevyo mtagaragazwa vibaya sana 2020
 
Dk. Lwaitama

Dk. Azaveli Lwaitama, alisema ni vigumu kusema CCM imeshinda ikiwa hakuna tume huru ya uchaguzi.

Alisema bila tume huru CCM itaendelea kushinda uchaguzi kwani imekuwa ikisaidiwa na dola.

“Katika hali ya kutokuwa na tume huru ya uchaguzi, mtu utaamini vipi kile kinachotangazwa ili ujue kweli kulikuwa na ushindani.

“Kwa hali kama hii ambayo Jeshi la Polisi linaenda kutanda kwenye jimbo la uchaguzi kama ilivyokuwa Dimani, lazima CCM iendelee kutawala, wala hatutafikia walipo wenzetu Kenya ambako chama kikishindwa kinakubali,” alisema Dk. Lwaitama

Hilo lipo wazi
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom