Recent content by kichikapua2

  1. K

    JamiiForums Tanzania Reli ya Kati: Benki ya Exim (China) wakubali kutoa mkopo wa Sh. Trilioni 16 kwa Serikali ya Tanzania

    Big up JPM tunakutakia kila la heri dodoma pewa rungu la CCM umalizie kazi ya kunyoosha nchi. Mapapa wa ufisadi wapo ndani ya chama. Watoe!!!
  2. K

    JamiiForums Tanzania Kamanda Sirro atangaza oparesheni maalum kwa wenye vyeti vya kugushi

    Ni hatua nzuri lakini tatizo la vyeti feki is a vountry wide issue. Namshauri kamanda Siro atoe kwanza boriti jichoni kwake ndio ataona vizuri kwa kusafisha vyeti feki kwa makamanda wake kwanza. Wakishakuwa wasafi waanze na watu wengine. Ila waangalie wasije wakasababisha upungufu wa wafanyakazi...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Mheshiwa Rais Dkt. Magufuli, Ukatibu Mkuu wa CCM mpe Abdallah Bulembo

    Haiwezekani katibu mkuu na mwenyekiti wote watoke kanda ya ziwa huko ni kukigawa chama. Hatutaki polirization
  4. K

    JamiiForums Tanzania Eddo Kumwembe: Hii inanitia shaka hata mimi

    Mungu atusaidie watanzania tupite salama.
  5. K

    JamiiForums Tanzania Uagizaji magari toka nje za nchi

    FOB ni bei ya kunulia kule tu. Na mara nyingine wanaonyrsha hiyo. CIF ni bei ya kununulia , usafiri mpaka dar na inaurance na inspection. Kama gari linauchakavu likija bongo hela inakuwa nyingi over 100 percent ya FOB yaani zaidi ya hiyo dola 600.
  6. K

    JamiiForums Tanzania Dk. Malasusa, hali bado tete

    Kanisa limekwisha kkkt inatuchosha
  7. K

    JamiiForums Tanzania Dk. Malasusa, hali bado tete

    Chumvi ikishabaribika itatiwa nini ili ikolee. Tuna shida kubwa kwenye makanisa ya kiptotestant hatuna stability kabisa. Hivi ushasikia vibweka kama hivi kwa Pengo. Kiongozi wa dini anapaswa kuwa mcha mungu na anayejiheshimu vi
  8. K

    JamiiForums Tanzania Dk. Malasusa, hali bado tete

    Huyu naye si aachie ngazi
  9. K

    JamiiForums Tanzania Balozi Mahiga: Mke wangu hakumtukana askari, walipishana kauli

    Traffic wetu kila jambo ni kosa na wanataka hela kwa kila kosa. Kila sharia ina nafasi ya kumwwlimisha mkosaji. Sana hivi traffic wamwkuwa kitengo minimum cha kuingiza hela kama TRA. Mimi sikubaliani na kutarget Makosa kama njia muhimu kwa matapo ya chi.
  10. K

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli anavyozungumzwa maofisini

    Shida ya wabongo wanataka kuishi kwa wizi. OC kidogo wanalia.tujifunze kuishi kwa mshahara. This is our means. Hizo za kupiga panga sioza kwetu. JPM kaza buti
  11. K

    JamiiForums Tanzania Executive Solutions ni jipu hatari sana

    Cha msingi ni kuwa na hoja na evidence jinsi gani hii kampuni imeebia gov.otherwise ni majungu
Back
Top Bottom