x.jamex1
Member
- Aug 2, 2014
- 76
- 27
Wakuu naomba mnielimishe kidogo hvi unapotaka agiza gari kutoka nje kutoka kwnye ile bei unayoiona online ni gharama gani nyingine unapaswa ziongeza mpaka ujue jumla ya pesa unayohitaji kamili mpka kufanya gari lako litembee barabarani hapa Tanzania. Tuchukulie gari mfano la dola 600 aina Nadia kutoka Yokohama