kuduman201036
JF-Expert Member
- Aug 26, 2015
- 4,057
- 2,163
WAPO wengi saana HUKO kamanda TOA namba zako za simu Tukusaidie then wewe mwenyewe ufanyie KAZI.
Heee!!! Sekta ya polisi ambayo jukumu lake kuu na la msingi ni ulinzi na usalama wa Raia na Mali zao limebadilika na kuwa katika sekta au wizara ya elimu????View attachment 365614
Kamishna wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Kamanda Simon Sirro amewataka wale wote waliyo na vyeti vya kugushi (vyeti feki) wajisalimishe mapema kwa jeshi hilo kabla ya kuanza kwa oparesheni maalum utakaowabaini na kuwachukulia hatua za kisheria.
Kamanda Sirro ameyasema hayo leo wakati akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar na kuongeza kuwa, watuhumiwa wamekuwa wakibanwa na kuwataja baadhi ya vigogo wa seriaklini kuwa ndiyo wanaohusika kuwatengenezea vyeti hivyo na kwamba huvitumia vyeti hivyo walivyotengenezewa kwa kuajiriwa serikalini na taasisi nyingine.
Wewe umesoma wapi mbona kuna watu wamesoma tanzania na kuzaliwa tanzania na bado hawawezi kuzungumza kiswahili fasaha. Wakati mwingine muwe mnatumia mitandao ya jamii kuandima mambo ya maana maana wengine watafaidika na siyo kila kukicha kuandika utumbo. Mimi nina watu nimesoma nao sekondary darasa moja wenzetu wengine mpaka wamemaliza chuo kikuu lugha ni ngumu na moja alituongoza darasani na mpaka six japo alivhukua sayansi lakini alipata first division. Na mwingine alichukua arts na ndiye aliyekua msemaji wetu mkuu ktk inter school debate na baadhi ya walimu na wanafunzi wa shule jirani walidhani ama si mtanzania ama amekulia katika nchi zinazozungumza kiingereza. Jamaa matokeo yake hayakua mazuri japo baadae alifanikiwa kuingia mlimani na kusomea ualimu na sasa ni mwalimu wa kiingereza. Sasa kuwa mxuri ktk lugha ama kutokuwa msemaji mzuri hakuna mahusiana na kufaulu hasa kwa wanasayansi. Mwalimu wetu wa lugha tulipoingia form one alituamvia jinsi wao waliookuwa chuo kikuu walikua na mangwini. Na yule ambaye hakujua kuongea kiingereza fasaha sasa hivi ni moja wa madaktari wazuri tu si wezi taja majina ya watu humu mitandaoni. Hivyo usidanganyike na waongeaji wazuri wa lugha ukadhani ni wasomi wazuri. Ila wasi wasi wangu nadhani mkuu unaweza kywa na umri wa miaka zaidi ya 70. Maana vizee ninyi wakati wenu wasomi walikua wqchache wengi wenu mlimalizia primary kwa wakati huo waliokua wanazungumza kiingereza walikua wasomi tu na usomi wenyewe wa darasa la kumi.Hata mdingi na mashaka naye, iweje ufikie DhP ya Kireno na kireno hujui?
Hana tofauti na walioingia makazini na vyeti feki.Kwani ana cheti feki?!
Hawa wengine wako kazini isivyo halali.Je,yeye yuko masomoni kihalali?Jamani mbona ***** bado anasoma!, inakuwaje watu tunaacha kujadili hoja tunakurupuka kwa wivu na majungu?
View attachment 365614
Kamishna wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Kamanda Simon Sirro amewataka wale wote waliyo na vyeti vya kugushi (vyeti feki) wajisalimishe mapema kwa jeshi hilo kabla ya kuanza kwa oparesheni maalum utakaowabaini na kuwachukulia hatua za kisheria.
Kamanda Sirro ameyasema hayo leo wakati akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar na kuongeza kuwa, watuhumiwa wamekuwa wakibanwa na kuwataja baadhi ya vigogo wa seriaklini kuwa ndiyo wanaohusika kuwatengenezea vyeti hivyo na kwamba huvitumia vyeti hivyo walivyotengenezewa kwa kuajiriwa serikalini na taasisi nyingine.
Hill nalo NENO !!!!!!Aanzie humo humo polisi kwanza sababu wamejaa kibao..
Si ameanza na cheti na kwa hiyo anapanda mdogo mdogo bwana weyeee.Hawa wengine wako kazini isivyo halali.Je,yeye yuko masomoni kihalali?
Kwani maendeleo yanaletwa na vyeti?Kituo cha kati,nyie ndio mnaotucheleweshea maendeleo.