Executive Solutions ni jipu hatari sana

BURUTA

JF-Expert Member
Apr 27, 2015
611
790
Kampuni hii inayojidai kufanya PR na consultancy limekuwa likiweka mirija yake serikalini na ktka taasisi zake na kuwaibia wananchi mabiliono. Ikichunguzwa kwa makini madudu mengi tu yatajitokeza.
 
Kampuni hii ni jipu kweli na inadaiwa inahusika katika sakata la kina Kitillya na wenzake. Tusisahau ilitajwa sana ktk lile sakata la Jairo ambapo ilidaiwa wizara ya Nishati iliwalipa mamilioni katika kufanikisha azma ya Jairo kuwaandaa Wabunge wakubaliane na bajeti ya wizara wakati ule.
 
Mkubwa Nchi Hii Ilioza Halafu Utaona Wasaka Tonge Na Viwavi Senene Watakuja Hapa Kuitetea Hii Kampuni Iliyojaa Ukiritimba Na Uhuni Mkubwa Sana
Mkuu Yale Unayoyajua Yaanike Hapa Unajua Hapa Jf Watu Wanajua Mengi Sana.

Na Serikali Inaamkia Humu Jf Kutafuta Madudu Kwenye Sehemu Mbalimbali
 
Kikubwa kinachoimaliza tanzania ni watz wenyewe kukosa uzalendo na nchi yao unlike kenyans,inapokuja maneno kuhusu nchi ,kenyans stand as one

Huijui Kenya, huijui kenya hata kidogo, huwafahamu kabisa wakenya piga kimya acha uongo. Sema jambo moja tu ambalo wakenya walisimama pamoja kama nchi kutetea nchi yao? Taja moja tu
 
Mhusika aliwahi kugombea ubunge bila mafanikio kupitia Chama Chetu cha Majambazi
Ukoo wa panya

Watu waliokosa fursa utazijua tu comment zao, badala ya kujadili hoja wanakimbilia kutaja vituwanavyodhani vimewasababishia matatizo waliyonayo hata kama matatizo hayo wameyatengeneza wenyewe
 
Kwa maana hiyo watendaji WA serikali wanapotuibia sisi watanzania ndiyo tumewatuma?, kwa kuzingatia hoja yako kuwa watz umasikini tumejisababishia wenyewe
 
Kampuni hii inayojidai kufanya PR na consultancy limekuwa likiweka mirija yake serikalini na ktka taasisi zake na kuwaibia wananchi mabiliono. Ikichunguzwa kwa makini madudu mengi tu yatajitokeza.
hao hata kwenye epa walilamba. ni wale wanaojidai 'wanajitambua' kumbe kazi kupiga dili haram.
 
Kwa maana hiyo watendaji WA serikali wanapotuibia sisi watanzania ndiyo tumewatuma?, kwa kuzingatia hoja yako kuwa watz umasikini tumejisababishia wenyewe

Hoja ndio inamaanisha hivyo? Labda, hata mimi sijui, art for art sake! Yule aliyeandika ile comment kumbe anawawakilisha watanzania eenh? Watanzania wote wamekosa fursa? Wote wenye matatizo chanzo chake ni watendaji wa serikali? Kama watendaji serikali ndo chanzo cha umasikini, hawa watendaji ni raia wa wapi? Nani anayepaswa kuwawajibisha hawa kama si watanzania wenyewe? Lakini hao watendaji si nao pia ni watanzania? Kama nao pia ni watanzania, je ni kweli ni watanzania wamejisababishia umasikini wenyewe? Najaribu kutafakari kwa sauti.
 
Kampuni hii inayojidai kufanya PR na consultancy limekuwa likiweka mirija yake serikalini na ktka taasisi zake na kuwaibia wananchi mabiliono. Ikichunguzwa kwa makini madudu mengi tu yatajitokeza.
Kampuni za kutoa ushauri wa biashara ni muhimu sana popote pale duniani. Zipo kila nchi. Kuna kampuni zinajikita kutoa ushauri kwa wajasiriamali wa ngazi za chini na zile zinazotoa ngazi ya makampuni makubwa. Sio kila kampuni zina utaalamu wa mahusiano. Naona kama wewe binafsi una tatizo lako au bifu na hii kampuni. Afterall zipo kampuni nyingi za aina hiyo hapa Tanzania.
 
Kampuni hii inayojidai kufanya PR na consultancy limekuwa likiweka mirija yake serikalini na ktka taasisi zake na kuwaibia wananchi mabiliono. Ikichunguzwa kwa makini madudu mengi tu yatajitokeza.

Inaonyesha ulikuwa ukifanya hapo Kazi ila " wamekutumbua " sasa unakimbilia huku kuja kuleta mapovu yako yaliyotukuka. Waswahili bhana!
 
Huijui Kenya, huijui kenya hata kidogo, huwafahamu kabisa wakenya piga kimya acha uongo. Sema jambo moja tu ambalo wakenya walisimama pamoja kama nchi kutetea nchi yao? Taja moja tu
Acha kukurupuka,9 years in kenya halafu nisiwajue?punguza kiherehere
Watz wanaweza kuwa wabaguzi hatari kuliko kenya
 
Haijalishi, toa mfano mmoja tu ambao unasadikisha hayo uliyoyasema. Ukiona mtu umemuuliza swali kutokana na hoja yake badala ya kujibu anasema acha kukurupuka then you must know there some nuts are loose they need to be tighten there upstairs.Kama kweli una uhakika na hilo unalolisema si utoe mfano mmoja tu, angalau useme mauaji ya Garisa au mauaji ya Westgate kama kweli wewe unajua.Being in Kenya for nine years do not make you an expert in national hood or patriotism. You can be Kenya for 9 years but in Nairobi prison.
 
Kampuni hii inayojidai kufanya PR na consultancy limekuwa likiweka mirija yake serikalini na ktka taasisi zake na kuwaibia wananchi mabiliono. Ikichunguzwa kwa makini madudu mengi tu yatajitokeza.
Mkuu kampuni hii inajihusisha na shughuli gani?
 
Hv hii ndio ile kampuni inayomilikiwa na Mariale na waandaaji wa Kili Marathon?
 
Hii ni Kampuni ya Aggrey Marealle.Kinachonishangaza ni jinsi mtu anavyokuwa na ujasiri wa kuanzisha mada na kurusha tuhuma nzito lakini hana ujasiri wa kuleta envidence.Majungu haya yanaliondolea jukwaa hili credibility.Tabia mbaya sana hii haifai
 
Haijalishi, toa mfano mmoja tu ambao unasadikisha hayo uliyoyasema. Ukiona mtu umemuuliza swali kutokana na hoja yake badala ya kujibu anasema acha kukurupuka then you must know there some nuts are loose they need to be tighten there upstairs.Kama kweli una uhakika na hilo unalolisema si utoe mfano mmoja tu, angalau useme mauaji ya Garisa au mauaji ya Westgate kama kweli wewe unajua.Being in Kenya for nine years do not make you an expert in national hood or patriotism. You can be Kenya for 9 years but in Nairobi prison.
Hivi kama hamna uzalendo na taifa lenu mtaendelea?
 
Back
Top Bottom