Mzee msolwa, makundi kwa sasa tusiyape nafasi.Kumbuka muungano wao ndiyo uliofungua njia ya majadiliano ya mezani kati yao na serikali.Acha waende kama muungano wa vyama vya upinzani na si kama chama cha upinzani ukinzani wa chama kimojakimoja ni rahisi kufutika kuliko wa muungano wa vyama vya...
kabla ya kwenda mbele hatua mia moja tukumbuke na kuitazama miongozo ya msajili wa vyama vya siasa inasema nini juu ya muungano huu.Tusije tukaisogelea fimbo iliyowekwa darini.
Hapa anazungumzia suala la majibu wanayoyataka na manufaa ya mradi wa gesi kwa wakazi wa Mtwara.Hazungumzii suala la mabilioni ya uswiss wala urais.Usipotoshe fikra za great thinker,hawa wapo kazini bwana.Mabilioni na urais ni mada nyingine tofauti na hii.
Mwanafunzi aliyemaliza msomo ya kidato cha nne anayesubiri majibu yake amegundulika na mimba ya miezi minne.wazazi wanakusudia kuchukua hatua za kisheria dhidi ya mtia mimba.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.