Mbuyu wa zaidi ya miaka 50 walemewa na dhoruba

Ryaro wa Ryaro

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2010
Posts
2,659
Reaction score
1,430
Waliokuwepo wakati Mbuyu unapandwa wasema waliona kwa mara ya kwaza, shina la mbuyu likitikisika kuazia miaka ya tisini, wanaendelea kutuambia hata mmoja wa walioupanda mti huu akiwa bado hai.

Safari hii shina la mbuyu linaelekea kuzidiwa na dhoruba na kuna kila dalili za mti huu wenye umri wa zaidi ya miaka 50 kung'ka. Wenyeuzoefu na mti wa Mbuyu wanasema ni kawaida sana mti huu ufikapo miaka 50 kuona unadondoka.

Wanaendelea kutanabaisha kwamba mti huu safari hii uking'oka utaacha shimo kubwa,kwa sababu mzizi yake mingi imeshaoza na inatoa halufu kari .

Tunaambiwa walioupanda Mbuyu huu walijiwekea utaratibu wa kuufanyia prunnng na kupunguza matawi yasiyofaa, ila tunaambiwa walioa achiwa walionekana kutofuta utaratibu wa kuhudumia.

Tunaambiwa Mbuyu uking'oka safari hii,udongo wake utaruka na kwenda masafa ya mbali hata kuwachafua wapita njia,na kuna pia kuna uwezekano wa michicha (ACT- Wazalendo) kukosa rutuba maana imeota na uimara wake imekua ikitegemea uimara wa mbuyu.

"Uliona wapi shina la Mbuyu likiyumba likakosa kuanguka"
 
Haya uliyoaandika ni maono ya ki Mungu nimeona katika ufunuo mti huu ukisukwa sukwa na Upepo mkali sana Ardhi nayo ikiinuliwa mithili ya mtu anyamyuaye kapeti! MATUNDA YA MTI HUU YALITIKISWA KWA DHORUBA KALI ILA MWISHO SIJAONA MT I HUU UKIANGUKA.

KISHA NIKAONA MKUTANO MKUBWA AMBAO JAKAYA ALIWASUBIRISHA KUHUTUBIA NILIONA WAZEE WACHOVU NA WANYONGE!

CCM KARIBU ITAANGUKA

KISHINDO CHA KUANGUKA KWA CCM KITALETA DHORUBA KWA NCHI LAKINI UTAKUA MWANZO WA NEEMA MPYA KWA NCHI
 
Mwandishi mpendwa hapa umeharibu utamu wa shairi lililoanzishwa ,umeweka wazi sana ungalijibu kwa mfumo huuhuu wa ushairi ingependeza sana asante.
Haya uliyoaandika ni maono ya ki Mungu nimeona katika ufunuo mti huu ukisukwa sukwa na Upepo mkali sana Ardhi nayo ikiinuliwa mithili ya mtu anyamyuaye kapeti! MATUNDA YA MTI HUU YALITIKISWA KWA DHORUBA KALI ILA MWISHO SIJAONA MT I HUU UKIANGUKA.

KISHA NIKAONA MKUTANO MKUBWA AMBAO JAKAYA ALIWASUBIRISHA KUHUTUBIA NILIONA WAZEE WACHOVU NA WANYONGE!

CCM KARIBU ITAANGUKA

KISHINDO CHA KUANGUKA KWA CCM KITALETA DHORUBA KWA NCHI LAKINI UTAKUA MWANZO WA NEEMA MPYA KWA NCHI
 
Hakuna chenye uhai kisichoonja umauti. Hata mbuyu lazima ufe tu.
 
hizi ni pumba katika ubora wake.

Back
Top Bottom