Recent content by kicheko.com

  1. K

    JamiiForums Tanzania Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    New model yake c mbaya kama akiitunza vizuri.ila old ni imara zaidi,mi old nna mwaka 4 huu haijanisumbua kabisa na njia zangu ni za makorongo makorongo
  2. K

    JamiiForums Tanzania Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Raum old model is the best...ila all in all ni utunzaji tuu
  3. K

    JamiiForums Tanzania Hidden cancer cures

    Its worth reading u r articles,salute kwako Deception
  4. K

    JamiiForums Tanzania Ubunge Moshi Vijijini, jimbo laanza kunyemelewa

    Kabiko――una stats za Moshi VJJ kuthibitisha hilo?je unajua kura za MS VJJ zinapigwa kwa ukanda?je unajua kata za mabogini na TPC ndizo zinamuaga nani mshindi wa ubunge MS VJJ?
  5. K

    JamiiForums Tanzania Ubunge Moshi Vijijini, jimbo laanza kunyemelewa

    Makoi hana mpinzani kwenye kata ya Okaoni, kwa kazi alizofanya kwa kipindi hiki Atapata, Kazi ni chama chake kipambane kiweze kurudisha kiti cha mkiti wa halma shauri, Huko Vunjo nako mpambano wa Lyatonga na Mbatia sijui kwenye madiwani itakuwa je,
  6. K

    JamiiForums Tanzania Ubunge Moshi Vijijini, jimbo laanza kunyemelewa

    Hanssy mmasi akipitishwa na ccm ataweza kuwa mbunge wa moshi vijijini, issue watamwachia?jamaa ni Jembe na mchakarikaji
  7. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania This Mchepuko is another level to my wife, mpaka najuta

    NANDERA ur right umenikumbusha movie ya why did i get married...Tyler Perry 80 20 % inahusika sana hapo
  8. K

    JamiiForums Tanzania Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Ni kweli kabisa,huu uzi uko makini sana asanteni sana wataalamu kwa kutuelimisha.binafsi napata uelewa mkubwa sana kupitia hapa
  9. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mkasa ulionikuta baada ya kumtongoza msichana wa JF

    Nimecheka sana
  10. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke kama tendo limekukinai na mwenzi wako fanya hivi

    Ahahahah
  11. K

    JamiiForums Tanzania Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Asante sana GeeM
  12. K

    JamiiForums Tanzania Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Msaada wana jamvi gari yangu raum old model nikiendesha sehemu ya muinuko speed inapungua
  13. K

    JamiiForums Tanzania Viroja: Siku ya kwanza kupanda ndege (ushamba mzigo)

    Ahahah
  14. K

    JamiiForums Tanzania Basi la Majinja lagongana uso kwa uso na Lori, Kontena laangukia Basi

    Jk yuko makata shinyanga,labda akitoka huko ataenda
  15. K

    JamiiForums Tanzania Whatsapp calling activation

    It really works...asante sana mkuu
Back
Top Bottom