Ubunge Moshi Vijijini, jimbo laanza kunyemelewa

Ubunge Moshi Vijijini, jimbo laanza kunyemelewa

Lucy amechoka kuteuliwa? Kamanda Komu naye kahangaika na mambo ya siasa. Nakumbuka enzi hizo wakiwa na Joseph Selasini kule NCCR wakiwa wanazi wa Mrema.
Kamanda Komu ni mwanamageuzi halisi,angekuwa ana bei kama Lamwai,Ngawaiya,Salakana,Mrema Zitto n.k angeshahamia CCM au kuwa mamluki au kujiunga na chama cha wasaliti.
 
Hanssy mmasi akipitishwa na ccm ataweza kuwa mbunge wa moshi vijijini, issue watamwachia?jamaa ni Jembe na mchakarikaji
 
Tunamtakia kila la kheri MOris Makoi Ikiwa chama chake kitampitisha ila ana kazi ngumu na UKAWA huku nje.
 
Makoi hana mpinzani kwenye kata ya Okaoni, kwa kazi alizofanya kwa kipindi hiki Atapata, Kazi ni chama chake kipambane kiweze kurudisha kiti cha mkiti wa halma shauri, Huko Vunjo nako mpambano wa Lyatonga na Mbatia sijui kwenye madiwani itakuwa je,
 
Ccm hawana lao moshi vijijini. Hakuna cha hancy wala makoi wala chami
 
Kabiko――una stats za Moshi VJJ kuthibitisha hilo?je unajua kura za MS VJJ zinapigwa kwa ukanda?je unajua kata za mabogini na TPC ndizo zinamuaga nani mshindi wa ubunge MS VJJ?
 
Back
Top Bottom