Kuna uwezekano hii story ni fekero!!!
Huo mchepuko usiuache mkuu
Ufekero wake ni kwa vile hujawahi kukutana na visa vinavyofanana na hii story...
Kwa hii story yako ingekua mkeo ni mama wa nyumbani ningesema ni fulani ninamfahamu yeye, mkewe na mchepuko.