Whatsapp calling activation

Whatsapp calling activation

Oya mkuu huduma ni kwa android peke yake au hadi Ios?
 
Oya mkuu huduma ni kwa android peke yake au hadi Ios?

Kwa IOS cjajua,,,
embu nenda kweny website ya whatsapp afu chukua latest version ya OIS,,,install afu ntxt
 
Jamani huu sio utani alietoa ii mbinu yuko serious saa hiz.na mimi napiga sim whatsup .big up sanaaaa
 
Back
Top Bottom